goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Napita tu..........Ndugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
Hahahahhaha..namba tena?Kweli kabisa.
Akikupa hiyo no. nipatie na mimi nimkanye aache hiyo tabia
We'jilie tu faza.....mengineyo yatafata baadae,utajua nini cha'kufanya.sie binadam hatushindwi kusovu inshu!!!!!
Duuuh!!Acha ujinga,kula mzigo wewe,usipokula hakupi tena,utabakia kula kwa macho tu.
Ndo nilikuwa nasubiria..Dogo umepata mkopo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] JFHuyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Ndugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
Mkuu hiyo tumeiona. Acha hizo mamboz,,,,,Eti umkanye kwa namba ya sim? Hahaa hiyo ni zaidi ya habari
Basi Sawa, acha watoane jotoAcha amsaidie maana naye pamoja na kuomba ushauri anajisikia kupenda. Hapo ngoma draw.