Dada yangu anamcheat shemeji

Ongea na dada yako na kumuonya kwamba kitendo anachokifanya si kizuri, lakini usimwambie shemeji maana ikatokea ndoa kuvunjika basi anaweza kujenga uhasama nawe kwa miaka chungu nzima na hata ndugu wengine kukuchukia kwa kuwa chanzo cha kuvunja ndoa ya dada yako.



thanks lol
 
Last edited by a moderator:
mbona dada yako hapa mtaani anasema kuwa anafanya kazi kwenye hiyo guest house na siku hiyo ulipomwona alikuwa na shemegi yake alikuwa ametumwa nakaka kaka yake akamwite maana shemegi yako au mme wake aliugua ghafla na kukimbizwa hosp. na hali ilikuwa mbaya wakaogopa kumpigia simu maana wanapenda sana na mme wake angestuka sana?

Theme kila tunapomwona mwanaume na mwanamke huwa tunawaza ngono tu?

siyo hivyo ndugu zangu niliongea na muhudumu wa gesti baada ya siku moja akaniambia ni wateja wake
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

hivi mtu akitoka gesti ndo manake anatoka kucheat? ukitaka kuishi kwa amani jaribu mambo yafuatayo
1. jifunze kuto kuchungulia au kutaka kujua vitu vilivyojificha pasipo sababu. wewe huna sababu hata chembe ya kutaka kujua dada yako anatoka wapi, hata wewe humwambii dada yaku kila ufanyalo
2. jifunze kuto kusema kila unachokiona, vingine havikusaidiii na wala havitamsaidia yoyote kati ya hao unaodhani unawarekebisha. hii siyo tu nyumbani, ni hata ktk biashara au kazini. utakimbiwa na watu hapa duniani. kwa taarifa yako huyo shemijiyako ukimwambia , mwisho wa siku ni uhusiano wa wewe na shemeji yako ndo utakuwa na mashaka , tofauti na unavyofikiri eti unamsaidia shemeji yako au dada yako. unaujua usafi wa huyo shemeji yako?. unajua dada yako alikwenda kufanya nini gesti? au umetafsiri kuwa gesti ni kucheat?
3. jifunze kuto kusema kila unachofikiri, kama kila mmoja angesema anachofikiri kichwani mwake, watu tusingekuwa tunawasiliana hapa duniani. sasa wewe inaonekana umeona , ukafikiria , ukatoa hitimisho na kuja kuropoka hapa. unadhani dada hajakuona , huenda amekuona sasa angalia asije akaanza na wewe
 
Unapotaka kulisanua kwa shem wako au kumpiga ribiti sista wako, Je unajua sista anachokikosa kwa shem wako kinachomfanya aende nje kukitafuta? Kama je mapigo ya shem wako kwenye 6x6 ni hafifu utamsaidiaje? Pilipili usizozila zakuwashani??

Tehe tehe MUACHE DADA ATWANGE POTEPOTE.
 
Me ndo nilikuwa na dada yake..baada ya mambo yetu yalee akaniambia jamaa yake hamridhishi..kaniambia kesho tena..Afu ela ya gest.i huwa analipaga yeye...Kapenda yoo yoo zangu..yoo
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa yoyo we noma
ka vipi we kamua tu au sio meeeeeeeeeeeen
 
umeona wenzio wanasema "mia" nalog off" "unachekesha" mpwa" nawewe umeiga kila mwisho mwapost yako unaweka "yoo" hovyo sana!
mbona iko mzuka tu ............after all kila mtu yuko na style yake ya ntoke vipi........
mwaya endelea na yoyo zako zinanikosha mie loh!
 
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye kuniona. Kinachoniumiza nashindwa kujua nimwambie shemeji wangu au nimwonye ccta kwani ni hatari sana. Jamani naomba ushauri wenu wa dhati,THANKS

Utuzima dawa, mwite dada yako mueleze analolifanya sio jambo zuri hata kidogo na jee inghekua mumewe ndio amefanya hivyo angefurahi? aangalie sana maradhi na kama kuna kitu haridhiki nacho kwa mumewe basi wakae watatue kama kuna tatizo lakini njia anayo kwenda nayo sio sahihi....
 
Utuzima dawa, mwite dada yako mueleze analolifanya sio jambo zuri hata kidogo na jee inghekua mumewe ndio amefanya hivyo angefurahi? aangalie sana maradhi na kama kuna kitu haridhiki nacho kwa mumewe basi wakae watatue kama kuna tatizo lakini njia anayo kwenda nayo sio sahihi....
thanks lol nimeipenda flow ya ushauri wako. Nitachonga naye weekend ijayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom