Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Nilishasema na nitaendelea kusema kuwa chadema ni kundi la walaghai wanaoendesha maisha yao kwa ujanja kwa kuwatumia watanzania kwa mgongo wa siasa.

kitendo cha dada yake mbowe kuhama ni ishara tosha kuwa ndani ya chadema kunauozo ambao si wa kuvumilia.
 

achen ushabik ucokuwa na maana,Grace mbowe co dada yake mbowe,ayo ni majina tu yanafanana.fanyen uchunguzi kwanza kabla ya kushabikia habari
 
ni vizuri, maana kaonyesha kuwa CDM si chama cha kifamilia na vilevile aangalie yasije mkuta ya Rose Kamili tu.
 
hawa watu walivyo na ukabila kahama kweli au katumwa kwenda kutafuta tarifa ccm mwangalieni vizuri huyo mtu.
 

Hakuna news hapo
 
Safari inaendelea watahama wengi sana tu hii ni mwanzo wakuu chadema si chama cha siasa.
 
Mungi,

Usipende kuropoka wewe ni Chadema lakini huifahamu familia ya kina Mbowe.

Grace ni dada yake Mbowe mama mmoja na baba mmoja.

Poleni sana makamanda


Mkuu Ritz tatizo nini hapa naona umekakamaa kwelikweli.

Grace ni mtanzania kama walivyo watanzania wengine, anautashi na uhuru wa kuchaguwa anachokitaka.

Kitugani cha kushangaza? demokrasia? hiari ya mtu? wassira steven amehama hama sana lakin hakufanya kosa

kwasababu ni haki yake ya msingi na kuhama grace pia haki yake bila kujali ni dada au siyo dada wa mbowe.
 
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.

Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.

soon vijana wengi watajitambua pia

Kamanda na wewe ulishajitambua? Naomba unitajie mambo matatu tu mapya ndaani ya CCM. Nami nitajitambua leo leo
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.

Acha upuuzi wewe Kibandiko
 
[h=5]USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA

Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe[/h]
 

Hayatuhusu kabisa. That is her private business. Isitoshe, who is she by the way. Msitupotezee muda wa kujadili issue za maana. Hiyo ni issue ndogo sana. Haipaswi hata kuandikwa kwenye gazeti la uhuru.
 
achen ushabik ucokuwa na maana,Grace mbowe co dada yake mbowe,ayo ni majina tu yanafanana.fanyen uchunguzi kwanza kabla ya kushabikia habari

wewe ni nani kwa mbowe au wewe ndiyo dada yake mbowe,
jitambulishe kwanza halafu utusaidie kufafanua hili lakini kupinga bila uthibitisho ni kutapatapa.
 


Walioanzisha CHADEMA ni Magavana wa Benki Kuu ya Tanzania:-

1:Hayati Mzee Bob Makani- Msukuma wa Shinyanga wa imani ya Kiislamu.

2:Mh.Edwin Mtei-Mchaga wa Kilimanjaro wa imani ya kikristo.

Hatuwezi kusema ccm ni ya ukoo wa Mh.Kikwete japo ccm imejaa watu wa familia yake ambao kwa uchache ni Jakaya Kikwete,Salma Kikwete,Ridhiwan Kiwete wote hao wako Nec ya ccm.Wengine ni Kawambwa,Miraji Kikwete,Bernad mtoto wa nje n.k

kama chadema ni ya ukoo wa Mbowe huyo mama Grace asingetoka.Hata hivyo maneno ya magazeti ya uhuru na Habari leo ya ccm si zakuamini moja kwa moja.Ccm wana lipi la kumvutia mtu ili akipende? Walioko ndani ya ccm ni sababu ya posho zilizoko nje nje ml.800 kila mwezi
 
Ni wakati wa wazalendo kama grace mbowe kutambua kuwa chadema kinawadanganya watu,pia ni kundi la watu flani wenye matakwa fulani kwa lengo la kujitajilisha.
 
wenye akili wanajitambua, wenye macho wanaona. Kazi ipo kwa misukule ambayo mpaka sasa haijajitambua na kuendelea kutumiwa kama chambo ndani ya CHADEMA. Grace Big up kwa kuachana na wanaharakati na kuungana na wanasiasa.
 
Hayatuhusu kabisa. That is her private business. Isitoshe, who is she by the way. Msitupotezee muda wa kujadili issue za maana. Hiyo ni issue ndogo sana. Haipaswi hata kuandikwa kwenye gazeti la uhuru.
Acha uzuzu kichwa maji ww, kwa hiyo esther wasira ambaye majina yanafanana tu na wasira ndio ishu ya maana? Tumia kichwa km ilivyoelekezwa na mungu ww
 
Yani unamaana Makongoro Nyerere alipojiunga na NCCR na kupata ubunge, Mwenye heri Julius Nyerere alikuwa hana ushawishi kwa level ya familia?
Au coincidence ya Mary Nagu na Jitu Son au Anna Tibaijuka na Kikwete ni ushawishi wa kifamilia?

Na hata Wassira aliposhindwa kushawishi mabinti zake wawili haikuonekana kuwa tatizo maana hakukosa ushawishi kwenye level ya kifamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…