Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Home swt home karbia mdada,kule michosho umeona,waaache hawa walioko JF wanaodhan wakipost kuidiss CCM ndo wataonekana wanaharakat na ID. Zao za kizushi,njoo mjengon piga kaz watz M45 wafurahi,,,,,,,,sie tunasonga waache waandamane na bdo kupinga matokea kama alivofanya 2010....
 
Dada kachoka propaganda za magwanda... Karibu Chama Kubwa. Ila asipewe cheo chochote awe mwanachama tu....
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.

Mbowe kama anakosa ushawishi katika leval ya family .. Sijui kama ataweza kitaifa
 
kahamia ccm ili iwe rahisi kwake kuuza meno ya Tembo na UNGA
 
 
Hili Jimbo lina wanachama wa vyama vya siasa wangapi? Pia nina mashaka na chanzo cha hii habari yaani hili gazeti dada la JAMBO LEO.
 
Nimeipenda hii,inadhihirisha chadema sio chama cha kifamilia kama ilivyo magambani
 
Mbowe kama anakosa ushawishi katika leval ya family .. Sijui kama ataweza kitaifa

Yani unamaana Makongoro Nyerere alipojiunga na NCCR na kupata ubunge, Mwenye heri Julius Nyerere alikuwa hana ushawishi kwa level ya familia?
Au coincidence ya Mary Nagu na Jitu Son au Anna Tibaijuka na Kikwete ni ushawishi wa kifamilia?
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Ritz
Haya mahaba na "Wachagga" yameanza lini?
 
Last edited by a moderator:
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.

yaani mnakopi hadi misemo kweli nyie wezi na mmeishiwa
 
Kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha familia!?? let her go. Hata babaake Mbowe alikuwa ccm, na Mtei pia

kuna wapuuz walidai kuwa chadema ni chama cha familia sasa sijui saivi wata semaje.
 
acha aende zake CDM CHAMA KUBWA anatoka 1 wanakuja makumi elfu,kwa magamba hiyo nayo habari? CCM IPO ICU
 
dada yake mbowe ni mwelewa kuliko mbowe na upeo wake ni mkubwa kuliko wa mbowe,
watakaobaki chadema ni wale wanaotumiwa ambao hata hawajitambui kama akina saa nane.
 
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.

Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.

soon vijana wengi watajitambua pia

Usukule kama ile kazi uliyokuwa unafanyizwa na wazungu kule ng'ambo si ni sawa.
 
Ajabu ni nini hapa! Nyererr akiwa rais wa Tanzania mtoto wake wa kuzaa alikuwa Nccr sembuse dada tena wa ukoo sio familia?
 

anastahili pongezi kwa kutambua usanii wa CHADEMA, wenye macho hawaambiwi tazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…