Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,233
Hii habari imekuwa chungu kwa makamanda wa Chadema, kila mmoja anatokwa na povu, teh teh teh teh.
Freeman Mbowe wa Chadema.
Makamanda, Mungi, na Ben Saanane, mpaka kesho wanapinga kuwa Grace Mbowe siyo dada yake Mbowe, siasa hizi kisa kaenda Chadema wamemtoa kwenye watoto wa Mzee Mbowe.
Mbowe ni ukoo mkubwa sana.....Lete habari kamili ni Mbowe yupi...?
Ukoo wa tundu lisu upo bungeni kwa kupeana, ukoo wa ndesamburo upo bungeni kwa kuzawadiana na hata ukoo wa mbowe umezawadiwa uenyekiti kutoka ukweni
Makamanda, Mungi, na Ben Saanane, mpaka kesho wanapinga kuwa Grace Mbowe siyo dada yake Mbowe, siasa hizi kisa kaenda Chadema wamemtoa kwenye watoto wa Mzee Mbowe.
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
unategemea Tanzania daima wataandika?Habari nyeti kama hii imeandikwa na Uhuru na Habari leo tu?
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CDM na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
...ngoja ni-google kama kweli ni dada yake mwenyekiti wetu.Mungi,
Usipende kuropoka wewe ni Chadema lakini huifahamu familia ya kina Mbowe.
Grace ni dada yake Mbowe mama mmoja na baba mmoja.
Poleni sana makamanda
Kama JK anavyosumbuka kuongoza akili kubwa wakati za kwake ni ndogo.Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.