Dada, embu fanya kautafiti kadogo basi ili nasi wengine utuaminishe unachosema.nimeambiwa viti maalum vimeenda kwenye mikoa ambayo viongozi wa chadema wanatoka. eti kuna mikoa imeongoza kuipa chadema kura lakini hakuna kiti hata kimoja. hivi mikoa gani walitoa kura nyingi kwa chadema
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu
PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE
HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE
TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....
HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI
ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI
CHADEMA TUBADILIKE

Dada dada, inakuhusu nini?????? kinachotazamwa hapa ni uwezo wala siyo dada au mama yake nani? Ondoa umbeya wako huo.
kwani kuna shida gani kama mtu ana kwalifikesheni??si bora dada yake kuliko akina viki kamata wanakuja bungeni kuburudisha wazee wa uchakachuaji
wewe ulienda ??tupe jibu kama umekataliwa nikujulishe na ya dadangu
bila shaka yoyote huyu mtoa maada atakuwa na tatizo kidogo la kufikili maana kama suala ni vitu maalumu angeanza kwanza na hiyo nyumba ndogo za wazee wa kuchakachu ambazo zinaelekea mjengoni, nani asiyejuwa kwamba watu kama Vick Kamata ni chakula ya mkuu.. kasomesha hadi nje na sasa anaona ampeleke mjengoni, nchi hii inaendeshwa kimtandao zaidi wewe kama baba yako au mama yako hakuwa na jina ktk Taifa hili andika maumifu,
hana hata muda wa kugombania uchafu kama huo angalia mkeo vizuri mkuu hawa viongozi wetu wametembeza fimbo sana kwa wateuliwa wetu so far usiogope huko dodoma muwekee speedomita ikiguswa ibaki kama ilivyo huku na wewe ukiwa umerokodi speed ulioiacha else duh dom nomaMke wangu kala shavu tayari dada ako vp anasura ya mbuzi nini?