Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

Status
Not open for further replies.
what is wrong if the whole family (if capable) to rule a country?? Kuna tatizo gani hapo! Mbona familia ya bush imegawiana madaraka and no problem. Mimi sioni shida kama taratibu na mashart ya kazi na wao kupata hizo nafasi zinafuatwa.
 
Lakini tusiwe na tabia ya kulalamika bila kufanya utafiti.Mtu yeyote anapokuwa kwenye chama chochote cha siasa haijalishi kwamba mtoto ,mke,dada,mjombo nk.kwamba na wao ni wanachama wa chama hicho! Juhudi na harakati za kujenga chama ndicho kigezo cha kumpa mtu uongozi na wala sio undugu wake na fulani-------------
 
kwa kifupi wapendwa

VYAMA VYA SIASA VISIWE VYA FAMILIA LAITI WANACHAMA WANGEKUWA AKIJUA UPUUZI UNAOEDNDELA NA HAKIKA WANGEKIMBIA WENGI SANA SISIEMU AMA CHADWEMA,,,TUACHE KUFANYA VYAMA VYA FAMILIA LEO HII ZITTO ANGEKUWA NA MAMAKE BUNGENI ..ANYWAY NAELEWA SIASA DITYGAME ILA ISIWE KIHIVYOOOOOOO

TOPIC CLOSED NENDEN MKAANGALIE TV
 
Yote heri jamani, tuombe Mungu atuepushe na mabaya. Haya yote ni madogo. kikubwa watusaidie kuondoka katika dimbwi la umaskini.
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE

Pius Msekwa na Anna Abdallah

Yusuf Makamba na January Makamba

Sam Sitta na Margareth Sitta

Andy Chenge alimanusura na Tinner
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE

ili haki ionekane kuvunjika ni lazima kuwepo na anayedai haki hiyo,unaweza kutupa orodha ya watu wali fuzu kupata viti maalulm wakakosa?
 
Pius Msekwa na Anna Abdallah

Yusuf Makamba na January Makamba

Sam Sitta na Margareth Sitta

Andy Chenge alimanusura na Tinner


Mkuu mwanafunzi hawezi kuhalalisha kufeli kwake kwa kusema kwamba lakini wengi darasani nao walifeli. Hauwezi kufanya vitu kwa kisingizio kwamba fulani nae anafanya hivyo hivyo. Kama Chadema ina taka kuji tofautisha na CCM haiwezi kutumia CCM kama standard barer. Chadema ime campaign na inaendelea kujinadi kama chama mbadala. Sasa na wao wakiingia kwenye dimbwi ya kufanya yale yale ya CCM mbadala ita toka wapi.

CCM kujazana ndugu hilo swala liko wazi kabisa kama ulivyo ainisha hapo juu na mifano ni mingi zaidi ya hapo. Ila moja ya vitu vilivyo fanya watu waanze kuichukia CCM ni kuona kwamba CCM ni chama chenye "wenyewe". Ndiyo maana tuka hoja nafasi ya Ridhiwani na pia tuka hoji January Makamba kuingia kwenye siasa. Sasa leo Chadema ifanye hayo hayo kwa kisingizio kuwa CCM nao wanafanya?
 
umambiwa kupata ubunge unaitaji kwalifikesheni labda nianzie kukusaidia hapa


Kaka nafikiri watu hawalielewi hilo, hatuchagui mbuge tu bora mbuge, tunaangalia uwezo wa kuongoza.

Kwangu mie hata wakitoka familia moja, yaani baba, mama, mtoto hadi mjuu sina shida cha msingi waweze kutekeleza majukumu yao basi.
 
Tatizo wengi tumeanza kushabikia Chadema kipindi hiki cha uchaguzi hivyo hatuwajui wapiganaji wake na viongozi wa vikundi vidogo vidogo ndani ya chadema.Sidhani kama walienda kufuatwa nyumbani wakapewa hizo nafasi,hivyo naomba mtu ambaye yuko deep kidogo atuambie hao watu walikuwa na mchango gani na ndio tuanze kujadili.
 
HUO NI UKWELI KUBEBANA UNDUGU KIASI HICHI SI HAKI CHAMA NI CHA WATU WOTE IWEJE WATU WAINGIZE NDUGU ZAO KAMA NZIGE KWANI WA KWALIFICATION WENGINE HAWAPO AU MPAKA UWE MBUNGE NDO UBEBE NA MBELEKO?CHAMA NDIO MAARUFU SI MTU:nono:


:nono: :nono::nono::nono::nono::nono:Kara unakosea ndugu yangu kusema chama ndo maarufu na si mtu.We unafikiri chadema isingekuwa na watendaji bora kama Dr Slaa, Zitto, Mbowe, dada yetu Mdee na wengine wengi unafikiri tungefika hapo tulipo? tafakari kauli yako na uchukue hatua. Hatuangalii dini wala ukabila sie tunahitaji kiongozi makini basi.
 
Nadhani hapa suala la msingi sio kuiga CCM wanachofanya. Mimi pia kwa fiktra zangu nadhani ni kwa sababu hadi sas Chadema wanamtandao mdogo kwa maana ya kuwa na wanachama waliojitoa hasa kukijenga chama. Ni dhahiri basi kwamba wale wachache waliojitoa wamebeba na dhamana za familia zao. Inapotokea nafasi kama hizo sio rahisi kuangalia tu eti mbona Mtwara hatuna mwakilishi, cha kwanza kujiuliza kiwe wanachama wa Mtwara wameifanyia nini Chadema. Kwa msingi huo basi naunga mkono uteuzi huo bila kujali huyu ni mtakala wa JF, michuzi, n.k.
 
HUO NI UKWELI KUBEBANA UNDUGU KIASI HICHI SI HAKI CHAMA NI CHA WATU WOTE IWEJE WATU WAINGIZE NDUGU ZAO KAMA NZIGE KWANI WA KWALIFICATION WENGINE HAWAPO AU MPAKA UWE MBUNGE NDO UBEBE NA MBELEKO?CHAMA NDIO MAARUFU SI MTU:nono:
mbona huwasemi wale walioingia na wake zao, watoto wao na vimada vyao. acha unafiki bwana, unalalamika kana kwamba ulitoa kura yako kwao, acha hizo,
 
Vita Kawawa,Zainab Kawawa(Baba yao ni nani?)
Hussein Mwinyi(baba yake ni nani)
Anna k.Malechela(mumwe ni nani)
Nk....Nk....

Pima uwezo wa mtu sio asili yake
Samwel Sita.... Mkewe ni nani?
Yusuph Makamba......Mumewe ni nani?
Vicky kamata.........Bwana wake ni nani?
Balozi Ally Karume .....Kaka yake ni nani?
 
Basiasi umeona chadema tu? Mbona ccm hizo ni nyingi tu.january na baba yake samwel sita na mkewe riziwani na baba yake oroza inaweza kuwa ndefu kuliko unalifikiria tafuta lingile na kusema hiyo sio hoja mkuu
 
Kimsingi kinachozingatiwa ni uwezo wa mtu husika.
hata kama mtu ni kiongozi mzuri hawezi kuachwa eti kisa ni pacha wa JK.
It doesn't make any sense.
 
Samwel Sita.... Mkewe ni nani?
Yusuph Makamba......Mumewe ni nani?
Vicky kamata.........Bwana wake ni nani?
Balozi Ally Karume .....Kaka yake ni nani?

kakalia maskia yake labda anyanyuke ndio atasikia ...wew mifano yote hii unapewa haelewi tu...
 
Kwa taarifa yako chadema inaongozwa na wa2 makini. Hao wadada unaowaona ni vichwa vyenye akili zao na familia walizotoka ni za wa2 wenye uchungu na nchi, watu wenye mwamko si hao vilaza wa ccm kazi yao kujiremba na kuuza sura.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom