Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

Status
Not open for further replies.

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,005
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE
 
kwani kuna shida gani kama mtu ana kwalifikesheni??si bora dada yake kuliko akina viki kamata wanakuja bungeni kuburudisha wazee wa uchakachuaji
 
kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

philemon ndesamburo-mbunge mwanae lucy uwenya mbunge,kuna mkwewe mbunge

haya aliekosa urais dk silaa,....mkewe rose kamili mbunge

tundu lissu ....mbunge ,dada yake nae kachaguliwa kwenye vit maalum mbunge....

Hawa ni baadhi tunaowafahamu wale wa freeman mbowe sijui vipi

anyway tuwe macho na hivi vyama jamani tunapenda mabadiliko lakiani isitokee ikawa chama cha familia nahisi maalimu seif angekuwa amejaza ndugu zake wengi sana leo hii cuf..mungu amuwezeshe baba yule kavumilia mpaka last anakula bata na security kali

chadema tubadilike

kibaya ni pale kiongozi anapotumia nafasi na raslimali za uchama au umma kuwavuta ndugu zake kama inavyofanyika kwa salma na ridhwani. Kama ndugu hao kila mmoja ana struggle kivyake sioni tatizo. Ni kuweli kwamba chadema is growing party ni lazima ilkuwa na waanzilishi ambao walitokana na watu wachache, mbona wakati walipokuwa wakitumika na kutoa michango yao ya hali na mali haukuwa ukisema chochot kuwa wewe ni ndugu ya fulani mchango wako hauwezi kupokelewa au kazi faulani ya cama uliyojitoleakuifanya usiifanye.

Kikubwa ni kila mmoja afanye struggle binafsi.
 
nimeambiwa viti maalum vimeenda kwenye mikoa ambayo viongozi wa chadema wanatoka. eti kuna mikoa imeongoza kuipa chadema kura lakini hakuna kiti hata kimoja. hivi mikoa gani walitoa kura nyingi kwa chadema
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE
Charity begins home!
 
hebu mtaje huyo dadake na tundu lisu. alaf mbona mnakaa kuangalia vitu vya kipuuzi kama hivi nyie wanadam???? utakaposkia keshokutwa ridhwani nae mkurugenzi wa TAKUKURU utakuja na hoja gani???? pls let's focus our minds to more serious issues than these cheap politics from "shake well" brains..
 
Wamemsahau mama ya Zitto? Hii ndio taabu ya CHADEMA. Ina wenyewe kwa maana halisi!
 
kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

philemon ndesamburo-mbunge mwanae lucy uwenya mbunge,kuna mkwewe mbunge

haya aliekosa urais dk silaa,....mkewe rose kamili mbunge

tundu lissu ....mbunge ,dada yake nae kachaguliwa kwenye vit maalum mbunge....

Hawa ni baadhi tunaowafahamu wale wa freeman mbowe sijui vipi

anyway tuwe macho na hivi vyama jamani tunapenda mabadiliko lakiani isitokee ikawa chama cha familia nahisi maalimu seif angekuwa amejaza ndugu zake wengi sana leo hii cuf..mungu amuwezeshe baba yule kavumilia mpaka last anakula bata na security kali

chadema tubadilike

wewe wasema
 
I wish ungeleta hoja yakujadiliwa!

Hebu jaribu kuchuja kabla ya kuandika! Kikwete alipokua anafanya kampeni na familia tena kwa gharama ya nchi ulikua wapi wewe? Mpaka Ridhi 1 alikua na security! usiseme Salma!

Uwe na uwezo wa kutafakari kabla ya kuandika!
 
nimeambiwa viti maalum vimeenda kwenye mikoa ambayo viongozi wa chadema wanatoka. eti kuna mikoa imeongoza kuipa chadema kura lakini hakuna kiti hata kimoja. hivi mikoa gani walitoa kura nyingi kwa chadema
hapa unatukumbusha marehemu Chacha Wangwe...:tape:

HAKI INAPASWA KUANZIA NDANI....
 
La muhimu ni wao kuwa na qualifications na sio kama ccm pale waliopewa viti maalum kuna mizigo kibao ya kina makamba.
 
Wamemsahau mama ya Zitto? Hii ndio taabu ya CHADEMA. Ina wenyewe kwa maana halisi!

Na huuu upande wa chama tawala unajua wanavyokabidhiana madaraka koo kwa koo? (Wadau hebu mpeni list ya Koo za chama tawala huyu) Acha hizo ndg yangu leta maada zenye mashiko!
 
Ukitazama jambo hili kwa haraka haraka utahitimisha kuwa chadema wana upendeleo lakini ukweli unabaki kuwa vyama vodogo vidogo kama chadema havina kina dada wengi makini wa kuweza kuwa wabunge. Mfano hivi leo TLP au UDP wakipewa viti maalum ni wadada gani makini wapo huko tunaowajua watapewa ubunge? Obvious watapewa wale walio karibu na vyama hivyo ambao mara nyingi ni ndugu wa karibu wa viongozi au washabiki wa vyama hivyo. Nataka kusema kuwa hakuna wadada wengi kwenye hivi vyama vidogo kaama chadema na chadema wanachofanya ni kuwapa wale waliojitoa siku nyingi kuwa kwenye chama hicho awe ndugu yake Lissu au Zitto. Nadhani baada ya mafanikio waliyopata chadema mwaka huu sasa kutakuwa na wadada wengi zaidi makini watakao jiunga nacho na hapo haya yote yatakwisha. Wanachotaka kulazimisha watu hapa ni kuwa chadema ikatafute mtu hata Mafia wakati inajulukana huko haikubaliki. Na zaidi ya yote mbona hata ccm yenyewe wana-recycle sura zile zile ambazo tunazifahamu hata kabla hatujazaliwa. Na wao pia mbona wanapeana kiupendeleo lakini hamna kelele huko? Huko ccm ndiko haswa kwa kulaumu siyo chadema,cuf, tlp au nccr-mageuzi
 
Kuna siku nilisema na sitoacha kusema ipo siku wenye macho watatambua nini maana ya chadema ona hizi sample ndogo tu

PHILEMON NDESAMBURO-MBUNGE MWANAE LUCY UWENYA MBUNGE,KUNA MKWEWE MBUNGE

HAYA ALIEKOSA URAIS DK SILAA,....MKEWE ROSE KAMILI MBUNGE

TUNDU LISSU ....MBUNGE ,DADA YAKE NAE KACHAGULIWA KWENYE VIT MAALUM MBUNGE....

HAWA NI BAADHI TUNAOWAFAHAMU WALE WA FREEMAN MBOWE SIJUI VIPI

ANYWAY TUWE MACHO NA HIVI VYAMA JAMANI TUNAPENDA MABADILIKO LAKIANI ISITOKEE IKAWA CHAMA CHA FAMILIA NAHISI MAALIMU SEIF ANGEKUWA AMEJAZA NDUGU ZAKE WENGI SANA LEO HII CUF..MUNGU AMUWEZESHE BABA YULE KAVUMILIA MPAKA LAST ANAKULA BATA NA SECURITY KALI

CHADEMA TUBADILIKE

Vita Kawawa,Zainab Kawawa(Baba yao ni nani?)
Hussein Mwinyi(baba yake ni nani)
Anna k.Malechela(mumwe ni nani)
Nk....Nk....

Pima uwezo wa mtu sio asili yake
 
Na huuu upande wa chama tawala unajua wanavyokabidhiana madaraka koo kwa koo? (Wadau hebu mpeni list ya Koo za chama tawala huyu) Acha hizo ndg yangu leta maada zenye mashiko!

Angalau tuige yaliyo mema basi. CHADEMA iwe tofauti na CCM. Sio haya ya Slaa na mtalaka wake; Mbowe na mkwewe; Lisu na dada yake; Ndesa na bintiye; Zitto na Kafulila;
 
kwani kuna shida gani kama mtu ana kwalifikesheni??si bora dada yake kuliko akina viki kamata wanakuja bungeni kuburudisha wazee wa uchakachuaji

umambiwa kupata ubunge unaitaji kwalifikesheni labda nianzie kukusaidia hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom