Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,089
Wewe ndio umeongea.Utafiti gani ulioufanya na kubaini, kiasi cha fedha kilichokutwa kwenye begi la mwanao aliyeweka ni beki3?
Ujue tabia ovu za familia inayokuzunguka, kwako wewe ni vigumu sana kugundua, kwa sababu ya imani kubwa uliyoiwekeza kwao na unavyochungwa mienendo yako , awe ni mke ama watoto wako.
Ainisha kama alikiri mwenyewe huyo veki3 wako ama una hisihisi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
