Chimulenge
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 227
- 175
Vyovyote atakavyo yeye, akipenda kuishi hapa itakuwa vyema zaidi, ni vyema zaidi pia akiwa jinsi KELazima awe dada? Anakuja na kuondoka au full time 24/7.
Ndg kuna changamoto fulani wanakuwa nayo kadri muda unavyoenda wanasahau majukumu yao, hilo ndilo tatizo kubwaaisee... stranger tu unamuweka ndani umuachie nyumba pia akupikie ?
Mtaani huko umekosa ? Hata kijjn kwenu.... ukiuliza uliza kwa ndugu zako maeneo tofauti pia unaweza kupata....
Inashangaza sana kwa dunia ya leo kuokota tu mtu baki jijini na kumkabidhi nyumba.aisee... stranger tu unamuweka ndani umuachie nyumba pia akupikie ?
Mtaani huko umekosa ? Hata kijjn kwenu.... ukiuliza uliza kwa ndugu zako maeneo tofauti pia unaweza kupata....
Kutakuwa na taratibu za kufahamiana, ila kumbuka pia wanaotuumiza ni wale tunaowafahamu na kuwaamini. Ubaya wa mtu ni tabia yake tuInashangaza sana kwa dunia ya leo kuokota tu mtu baki jijini na kumkabidhi nyumba.
Gharama za kula, kutibiwa na kuishi zipo kwanguMh hela ndogo mbona 2026 unamlipa mtu 80k
Its trueNdg kuna changamoto fulani wanakuwa nayo kadri muda unavyoenda wanasahau majukumu yao, hilo ndilo tatizo kubwa
Nyie mnalipa sh ngapi nije? 🤔Mh hela ndogo mbona 2026 unamlipa mtu 80k
Inashangaza sana kwa dunia ya leo kuokota tu mtu baki jijini na kumkabidhi nyumba.
Kweli mkuuKutakuwa na taratibu za kufahamiana, ila kumbuka pia wanaotuumiza ni wale tunaowafahamu na kuwaamini. Ubaya wa mtu ni tabia yake tu
Unayemfahamu at least una pa kuanzia mambo yakiharibika.Kutakuwa na taratibu za kufahamiana, ila kumbuka pia wanaotuumiza ni wale tunaowafahamu na kuwaamini. Ubaya wa mtu ni tabia yake tu
Wa kwangu namlipa laki na 80 mkuuNyie mnalipa sh ngapi nije? 🤔
Yes,asiwe ndugu na asiwe wa kuokota tu mtaani unaletewa na online stranger.Ndugu jau
Bora upate mtu upafaham kwao maisha yaendelee
Nitazingatia!Unayemfahamu at least una pa kuanzia mambo yakiharibika.
Isitoshe hata yeye anajua atapatikana akiharibu.
Strangers?? Tena Dar!
Natanguliza shukraniDuh nimekosa kazi jmn ...ngoja nikuulizie mkuu...nitaleta feedback hapa