Dada wa barbershop na kinyozi anatafutwa ( tangazo kwa awamu ya pili)

Feb 15, 2013
64
109
Habari zenu wanaJF?

Nakuja mbele zenu nikiwa na nafasi mbili za wadada na vinyozi ambao watakuwa tayari kufanya kazi katika barbershop iliyoko maeneo ya kawe.

Kwa maelezo zaidi waweza mtext mhusika kwa namba 0744898405 ( anaomba ntume sms na sio kupiga)
 
Back
Top Bottom