Dada, usiwaamini madereva Bolt

Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.

Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
Ulikuwepo eneo la tukio ndugu Shahidi namba moja?
 
Yaani
KubabakeπŸ₯±πŸ₯±πŸ₯±πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£, shida ukute kalivaa kakimini halafu wewe ndo uwe huyo dereva hahaha na bado mitego kutokana na ulevi πŸ§₯🩳
Yaani kavaa hovyo sana mapaja yote nje
 
Hiyo ni ambayo mmeona videos ila matukio hayo yanatokea mara nyingi. Kipindi napiga deiwaka bodaboda hizi stori nimezisikia sana.

Na muda mwingine unamchukua binti mnafika anapoishi anakuambia sina hela kama vipi twende ukanifire
πŸ˜†πŸ˜†

πŸ˜†πŸ˜† Na mazoezi yote hayo atajutaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…