Dada, usiwaamini madereva Bolt

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.

Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
 
Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.
Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
Hapa jf hawaruhusu hio video ukiitaka njoo dm
Kubabake🥱🥱🥱🤣🤣🤣🤣🤣, shida ukute kalivaa kakimini halafu wewe ndo uwe huyo dereva hahaha na bado mitego kutokana na ulevi 🧥🩳
 
Uaminifu ni kitu cha muhimu sana, inasikitisha pale chombo ambacho unaamini ni salama, kumbe ndio kinatumiwa ndivyo sivyo na wasio na tabia njema.

Binadamu ni watu wa ajabu sana, kwa mtu kama huyo hata kesho na kesho kutwa kaona tu umepanda na bidhaa ya thamani na akakupeleka nyumbani, si anaweza hata kukuchoresha kwa wezi
 
Ni kweli mkuu
 
Kuna dada mmoja amebakwa na dereva bolt baada ya kupanda bolt hio akiwa tungi.

Unapokuwa viwanja kuwa na mtu wako ili ukilewa akupe kampani sio unaonda pekee ako mtaishia kubakwa na madereva bolt
Nimeanza kulewa kabla sijajiunga Jf
Na nimetumia Uber na Bolt kufika nyumbani
Sijawahi kukutana na changamoto,
Narequest naingia kwenye gari, nafika nnapofika nalipa nauli naenda kulala.
Watu wengine wanaletaga drama wanasingizia pombe
Mxiiew
 
Hiyo ni ambayo mmeona videos ila matukio hayo yanatokea mara nyingi. Kipindi napiga deiwaka bodaboda hizi stori nimezisikia sana.

Na muda mwingine unamchukua binti mnafika anapoishi anakuambia sina hela kama vipi twende ukanifire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…