MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,950
- 14,531
Huwezi jua labda kuna mtu anaibiwa hapo
Brother usisahau kumpiga picha akitoka u2leteeZile ni kelele za utamu sio za maumivu.....niko hapa nazuga ili wakitoka nimuone huyo mdafada
Umeripoti vizuri sana tena 'live'! Yaani kama ma-reporter wa CNN live katika uwanja wa mapambano!Ha ha ha ha ha ha haaaaaaa.......mkuu kwani hiyo habari nimeiripoti vzr sn
umenikumbusha siku moja mwenzio sijalala mapema kwa ajili ya makelele ya chumba cha pili.Nitakosa burudani...sasa hivi wako half time
Nimetamani ngekuwa zea, chabo ingehusu leo....
Bongo movie
Nataka sana tena nna kiwi.....Hutaki kulizwa?
Nataka sana tena nna kiwi.....