Dada unapiga kelele kama unachinjwa

Dada unapiga kelele kama unachinjwa

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Nipo kikazi kwenye mji fulani hivi na hapa niko gesti nilipofikia.

Sasa kuna hawa wapangaji wenzangu ambao ni jirani na chumba changu sijui wameamua kunifanyia makusudi.

Maana wameanza yale mambo ya kikubwa mapema tu sasa huyo bidada anavyopiga kelele humo ndani sio mchezo, utafikiri labda anang'olewa jino bila ganzi.

Inakera sana japo kiaina inaleta raha flani, lakini kwa wadada wote kelele za namna hiyo hazifai.
 
Labda shughuli ya jamaa ni pevu bi dada hajawahi kukutana nayo maishani mwake
 
Labda shughuli ya jamaa ni pevu bi dada hajawahi kukutana nayo maishani mwake

Zile ni kelele za utamu sio za maumivu.....niko hapa nazuga ili wakitoka nimuone huyo mdafada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom