Dada unapiga kelele kama unachinjwa

Dada unapiga kelele kama unachinjwa

Ndio hivyo, huyo mwanamke kwanza anavyoni chunga/nifatilia sihemi nakwambia. Ye wakat wote ananihisi tu vibaya. Simlaumu sana ni haki yake.
ukiona hivyo jua yeye ndiyo anafanya kwa kuwa unampendausichunguze just cool as long as unapata haki yako
 
Nipo kikazi kwenye mji fulani hivi na hapa niko gesti nilipofikia.

Sasa kuna hawa wapangaji wenzangu ambao ni jirani na chumba changu sijui wameamua kunifanyia makusudi.

Maana wameanza yale mambo ya kikubwa mapema tu sasa huyo bidada anavyopiga kelele humo ndani sio mchezo, utafikiri labda anang'olewa jino bila ganzi.

Inakera sana japo kiaina inaleta raha flani, lakini kwa wadada wote kelele za namna hiyo hazifai.

Hahha. Lol
 
...bila kumsikia akigugumia huwa siamini kama imemfika sawawa...!!

Hapo ndo chanzo cha kuibiwa kwa kelele sasa...unatoka hapo bichwa hilo unajua leo kidume nimepiga shoo ya maana kumbe mwenzio walaaa
 
Labda anaombewa na pasta gwaji...!



Umeniwahi mkuu....Gwajima kwa kuombea wake za watu ni noma. Utashangaa anakuombea then unakwenda mwenyewe kujifungia kwake kumsubiri. Akirudi safarini anajibindua kinoma kama hana akili vile kisha anakutafutia mwanamme wa kanisa lake akuoe, then yeye anakwenda kuharibu ndoa ya muumini mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom