Shinyanga
Purukushani zao zinafanya nianze kufuatilia nyendo zao
Loh.....!!! hiki ni kituko, hili janamke ni jambazi.....aliyekuwa analipigisha kelele ni mzee huyo amechoka choka na afya yake ni mbovu mbovu hivi, halafu lenyewe limepanda hewani, na limezia kweli kweli kifuani kama mabaunsa wa Sean Paul huku chini kwa nyuma likiwa flat, limevaa ka kimini keusi kanaishia juu kidogo ya magoti, vimiguu ni vyembambaaaa halafu vina mabaka mabaka kama magwanda ya jeshi, yani kwa kifupi jinsi alivyo ni tofauti kabisa na sauti aliyokuwa anaitoa kule chumbani, wanakabidhi funguo naona eti linambusu mzee wa watu nae anaonekana hata hayuko richabo kwa hilo busu, nimechukia sana yani kupoteza muda wangu kwa ajili ya huyo comando
Nipo kikazi kwny mji flan hivi, na hapa niko gesti nilipofikia.....sasa kuna hawa wapangaji wenzangu ambao ni jirani na chumba changu cjui wameamua kunifanyia makusudi.
Maana wameanza yale mambo ya kikubwa mapema tu....sasa huyo bidada anavyopiga kelele humo ndani sio mchezo, utafikiri labda anang'olewa jino bila ganzi.
Inakera sana japo kiaina inaleta raha flani, lakin kwa wadada wote kelele za namna hiyo hazifai
Chabo wapi c ndo wametoka sasa halafu inaonesha hili dada ni li mchepuko la muda mrefu kwa huyu mzee, analiambia likamsalimie rafiki yake qween
Khaa, we kweli ni reporter! Kazi yako ni uanahabari nini mkuu?Loh.....!!! hiki ni kituko, hili janamke ni jambazi.....aliyekuwa analipigisha kelele ni mzee huyo amechoka choka na afya yake ni mbovu mbovu hivi, halafu lenyewe limepanda hewani, na limezia kweli kweli kifuani kama mabaunsa wa Sean Paul huku chini kwa nyuma likiwa flat, limevaa ka kimini keusi kanaishia juu kidogo ya magoti, vimiguu ni vyembambaaaa halafu vina mabaka mabaka kama magwanda ya jeshi, yani kwa kifupi jinsi alivyo ni tofauti kabisa na sauti aliyokuwa anaitoa kule chumbani, wanakabidhi funguo naona eti linambusu mzee wa watu nae anaonekana hata hayuko richabo kwa hilo busu, nimechukia sana yani kupoteza muda wangu kwa ajili ya huyo comando