Dada una sura nzurii.....

Dada una sura nzurii.....

Dada Kasie , pole na safari.Ndio tumerudi tokea safari ileeeee ya wapendanao?
 
View attachment 702207 Kasie Mahaba.

Habari zenyuu,

Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa ananihudumia ni mdada).

Baada ya kuniuliza maswali kadhaa akaniambia niangalie camera, weka finger prints akagonga muhuri kwenye passport halafu akafungua ukurasa wenye taarifa zangu kuangalia mwaka wangu wa kuzaliwa na nilivyo..

Akanitazamaaa huku akiwa ameshikilia passport yangu kwa sekunde kadhaa. Aka tabasamu huku akisema.. Dada una sura nzuri. Sikutegemea usemi ule hasa kutoka kwa mdada. Nikajikuta natabasamu kuanzia pale nia nzima hadi home. Nikamwambia asante kisha nikachukua passport yangu huyo nikakamata Gautren hadi Sandton kisha nikachukua uber hadi home.

Njiani nikawa najiuliza..... kwani huyu dada kaniambia nina sura nzuri.....

Update:

Mara nyingi watu husema wadada ni ngumu sana kusifiana yaani huwa tunaoneana wivu. Lakini huyu dada kwa tabasamu alilotoa niliona alimaanisha kunisifia aidha kwa kulinganisha umri na sura akaona sura bado ina ahueni japo umri umeenda.

Najua wako ambao wanasifia kwa unafiki ile mtu anakwambia Umependeza wakati uko kama kituo. Kama kawaida yangu nilikuwa kawaida tuu sikuwa na makeup yoyote usoni zaidi ya lipstick na wanja. Huyu dada sifa yake haikuwa ya kinafiki tabasamu lake lilisema yote.

Kingine nikaona kuwa kweli wadada tunalewa sifa, wallah angekuwa mkaka ndo kanisifia ningempa namba yangu ya simu hehehehe.

Sio siri wadada tunasikia raha sana tukisifiwa hasa sifa ikiwa ya ukweli.... yaani hadi sasa kila nikiwaza natabasamu.

Kasie Kiuso hehehehehe.

Heeey, sijaweka huu uzi kujisifia bali nimeelezea kilichotokea. This pic below is real Kasie ..... nimeipiga lini jibu kwenye mabano hehehehhe

View attachment 702209

Kasie Mahaba.
Mbona kama muhenga..!
 
Hahahahahahaa acha uchokoziii
Wala si matani Kasie, sema mi mwenyewe wakati huo niko wa moto balaa kwahiyo ikawa kila nikilichapa chapa jiharage lile na bichwa la mbor nakupalaza palaza kama nafanya massage ya body to body basi ile kiasali inakolea kwa wote mnajikuta mnapiga mayowe ya shangwe wakati wote
 
Mzuri kweli, kwani aliyekusifia kadanganya?
Sasa avatar pch iliyopo iondoe, bandika hii. Ile ya Kasie wa kubhumba, haina maana.
Miss natafuta naye aweke ya kwake real, ili tuthamanishe tuone nani mkali wa natural sura?
 
Wala si matani Kasie, sema mi mwenyewe wakati huo niko wa moto balaa kwahiyo ikawa kila nikilichapa chapa jiharage lile na bichwa la mbor nakupalaza palaza kama nafanya massage ya body to body basi ile kiasali inakolea kwa wote mnajikuta mnapiga mayowe ya shangwe wakati wote

Hahahahahhaa una hatari weweee..... ati mayowe ya shangwe aahahahahahhaaa looh.
 
Kasie so young than I imagined.
Kasie so hot.
Kasie so sweet
Kasie so cute
Kasie so young.
 
Kuna mada iliwahi kuletwa humu na mwanamke akidai amekitana na mwanamke mwenzie pahala fulani hawafahamiani wala nini lakini alimtamani ile mbaya ikafikia hatua ya kutamani angekuwa na uwezo wa kujiotesha ubor amdinye nao. Huenda nae huyo kakutamani Kasie matata toto la konyamwezi hahahaa
Kweli@@ tena wadada wa airport ni shida malesbian na mashoga jamejaa wanasagana hadi ndani ya ndege na mahotelini
 
Mzuri kweli, kwani aliyekusifia kadanganya?
Sasa avatar pch iliyopo iondoe, bandika hii. Ile ya Kasie wa kubhumba, haina maana.
Miss natafuta naye aweke ya kwake real, ili tuthamanishe tuone nani mkali wa natural sura?

Hapana I love my avatar and am not going to change it.
Msifanye competition banaa am not here for that.... am just Kasie the way I am.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom