Dada una sura nzurii.....

Aisee nilijua nitalufa bila kuona picha yako kasie matata hatimae leo nimekuona kumbe sio ajuza wala nini halafu hayo macho duuuh aiseee mambo mazuri

Hahahahahahaha mbona niko kawaida tuu jamani.... am not an angel neither a queen.... just a mere old woman out there who always smiles.
 
Hahahahahahaha mbona niko kawaida tuu jamani.... am not an angle neither a queen.... just a mere old woman about there who always smiles.
Aisee mambo mazuri hayo wewe ni Queen mama
 
na wewe ungemjibu "dada una roho nzuriii..." kwa kua laikubali kukusifia sasa wewe umebaki na sura nzuri na yeye ana roho nzuri...

Yaani hayo maneno hata hayakunijia. .... alinistukiza na nikajawa na bashasha..... nikabaki natabasamu tuu hehehee.
 
Daaah hizo lips nimemkumbuka sana Asha Mautamu wa huko Mabatini Mwanza wakati nikiwa utingo wa Fuso

Asantiii japo mie zangu zimezeeka.
 
Lakini according to the phote u attached, i think she was juat playing at you coz u aren't such cute my dear.... Ni kawaida tu labda kama you are such older and your look doesn't match, yaani umri mkubwa kuliko muonekano, sorry for my comment

What you said is naked truth and I like it..... sijasema mie ni mzuri nimeelezea yeye amenisifia dada una sura nzuri kwa mtazamo wake yeye. Siku zote mie najiona mzee na ndo uhalisia nimezeeka na kunyanzi kibao. Na hapo chini pia nimeweka angalizo kuwa sijisifii bali naelezea tukio na picha ya Kasie ndo hiyo pia nikaweka angalizo, kuwa hiyo picha nimeipiga lini jibu liko kwenye mabano.
Umenipata? ?!! Kama bado basi si saizi yako.
 
Lengo la huu Uzi ni nini?

Au unatafuta danga?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…