Dada samahani gari yangu haina insurance naomba unikamate

Dada samahani gari yangu haina insurance naomba unikamate

Ukiona mwanaume anakipita kitu kizuri hivyo na hajakisifia au kukiangalia jua kuwa kuna kasoro fulani ndani ya mwili wake mkuu mwekundu
atakuwa amepewa limbwata la macho huyo kudadadeki
 
Last edited by a moderator:
Da!! Umepania mno mkuu!

mi naenda kugonga kabisa hayo matofali pembeni yao kabisa ili nikamatwe mda mrefu kabisa! na ntapona kwa sexual healing!
Yaani the colour tu bado body nikishindwa kukeshea kweli si ntakuwa nimelogwa?

Huyu ni hadi awe mwekundu kifuani, masikio na ntinda usoni ndo nimuache!
 
Hahahahaaa. Na faini unamlipa kwa airtel money. unasingizia huna kitambulisho cha kutolea kwa wakala.
Yaani hapo Mkuu Tized nabandua stika yoyote na kusingizia sina ili tuu nimwambie anipeleke kituoni na kituo ninachochagua ni mbali na mji kabisa tukirudi huko story inakuwa nyingine
cc Mndengereko dikembe, Excel
 
anakua amekosa hormone za kiume(za kike ziko nyingi)

kabisa mkuu mwekundu tutambatiza jina jingine kabisa

atakuwa amepewa limbwata la macho huyo kudadadeki
bysange umeona eeehh atakuwaa na kengeza za macho huyo

Hahahahaaa. Na faini unamlipa kwa airtel money. unasingizia huna kitambulisho cha kutolea kwa wakala.
Tized umeona eeehhh yaani wakati huo kofia na uniform kashazitupa mbali anaongea lugha nyingine kabisa
cc Mentor na Mndengereko

Kindo kyicha kulie na Mono omo ndao kanyi.
Tized kyembie monowama kindo kicha nale na wamrasa wakye
cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
View attachment 154239

Ingekua ni kati ya hawa jamaa ( Mr Rocky, Mndengereko, sungura1980, utafiti, Excel, mwekundu, mshanajr) anakutana naye huenda wangesingizia kupata pancha karibu naye au wangebandua stiker makusudi.

attachment.php
 
Hii itakuwa kusini,swaz,Botswana au Lesotho maana huko ndio kuna viumbe wa namna hii halafu wanaume wa huko wala hawana time nao,wao wanataka wembamba.

Kwenye miti hakuna wajenzi mkuu!
 
Daily ningekua nakatiza na gari bovu maeneo alipo huyu trafiki.
 
Back
Top Bottom