Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,335
- 23,951
Kindo kyicha kulie na Mono omo ndao kanyi.
Ahahah nshapata changu mwenyewe. Ivyo nawaachia nyie #teamBAZAZI
Kindo kyicha kulie na Mono omo ndao kanyi.
Teh teh teh hapo me ningebandua stiker aisee
kabisa mkuu mwekundu tutambatiza jina jingine kabisa
bysange umeona eeehh atakuwaa na kengeza za macho huyo
Tized umeona eeehhh yaani wakati huo kofia na uniform kashazitupa mbali anaongea lugha nyingine kabisa
cc Mentor na Mndengereko
si umeonaeee halafu vya huku vinajishauuua wakati ni utamu wa big g au bazokaHahahahaaa hamna,jamaa wamewazoe maana hivyo viumbe sio adimu kule kwao kama huku kwetu
unajiangusha akupe huduma ya kwanza au umchungulie kunako centre of kmie ningejiangusha chini
Ahahah nshapata changu mwenyewe. Ivyo nawaachia nyie #teamBAZAZI
Hawa vijana wa zamani (babies) wanakwangua hadi na manyoya kiongozi.
Hahahahah washasema uzee mwisho chalinze huko kwingine ni babes bana mkuu Tized
maisha yenyewe mafupi kula raha bana ukiweza
Cc Mndengereko
Mtuache na traffic wangu.
Mahaba nifilisi hayo!!Mkuu azabu yote ya nini hapo hapo namsomisha ya kwamba hii ni kweli haija kamilika kwa vibali vyake na kutokana na utitiri wa vibali sikuweza kutimiza na hasa mwenye hii gari nilikuwa simuwoni lakini nashukuru nimekuwona leo kwa hivo hii gari siyo yangu hii ni yako na mali yako na unamkabihzi huwo ufungua hapo kazi kwesha na hakuna kupoteza muda
Nimekupata, lakini ile Ngao kwenye kofia laziama niimalizie hasira zangu zote za kodi za bishara, na mizinga yote askari walionipiga Mkuu! Wamezidi!
Kofia lazima ibaki mpaka apige saluti! plz.
Hata kama huna kosa mkuu?