Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Ingekua ni kati ya hawa jamaa ( Mr Rocky, Mndengereko, sungura1980, utafiti, Excel, mwekundu mshana jr) anakutana naye huenda wangesingizia kupata pancha karibu naye au wangebandua stiker makusudi.
LexAid, LexAid, xfactor, Wa nyamadyaki, Makanyaga makubazi, Huyu binti anazidi kuzua utata. Ona jamaa alikua amezima.. ila karudi

Na mpiga picha wetu Mndengereko
Last edited by a moderator: