Dada samahani gari yangu haina insurance naomba unikamate

Dada samahani gari yangu haina insurance naomba unikamate

huyo Trafiki hafai, atasababisha ajali za kizembe kwa madereva ambao ni Team Bazazi
 
Kuna watu wanafaidi jamani, kha! Aiseee mimi simruhusu aende kazini huyo ni wangu peke yangu
 
huyu naye ni housegirl wetu ,nina week saba sijaenda chuo sijui kama sitapigwa supp
10173613_609451859149733_4321253299703257463_n.jpg
 
Hahahahahaaa... Atafaidi sana akija bongo aisee. ngoja nifanye mpango ashushwe apo ubungo mataa.
hapo najitoa ufahamu ni kutoa bizinesi kadi yangu kwanza halafu na misimbazi kama 20 hivi
 
Hahahaaa! magonjwa ya presha yanahusika apa aisee!!
Kuna watu wanafaidi jamani, kha! Aiseee mimi simruhusu aende kazini huyo ni wangu peke yangu
 
View attachment 154239

Ingekua ni kati ya hawa jamaa ( Mr Rocky, Mndengereko, sungura1980, utafiti, Excel, mwekundu, mshanajr) anakutana naye huenda wangesingizia kupata pancha karibu naye au wangebandua stiker makusudi.
mi naenda kugonga kabisa hayo matofali pembeni yao kabisa ili nikamatwe mda mrefu kabisa! na ntapona kwa sexual healing!
Yaani the colour tu bado body nikishindwa kukeshea kweli si ntakuwa nimelogwa?

Huyu ni hadi awe mwekundu kifuani, masikio na ntinda usoni ndo nimuache!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom