Dada niliyemtoa bikra ameniliza sana

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,985
28,566
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita.

Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua simu hazikua nyingi tulipotezana sana.

Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanieleza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco.

Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanieleza kweli yupo Mji kasoro bahari.

Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa.

Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.
 
Kiukweli nimejikuta hadi sasa naumia na kumhurumia sana na nawaza nimfanyie kitu gani kizuri ambacho kitampatia furaha kwa sababu machozi yale yameniuma sana tena sana.
 
pole uwe unawasiliana naye kama sehemu ya kumfariji!usipotee sana,na muulize kama anadhani unaweza kumsaidia kwa namna yeyote ile!!ila kuwa makini usije kupigwa shoti ya umeme na jamaa wa tanesco!
 
Kiukweli nimejikuta hadi sasa naumia na kumhurumia sana na nawaza nimfanyie kitu gani kizuri ambacho kitampatia furaha kwa sababu machozi yale yameniuma sana tena sana.

Unataka kumfanyia kitu kizuri Mke wa mwenzio sio? Ok' mgegede ili umfurahishe na kukumbushia enzi za utoto wenu! Alafu mkiwa waathirika wote itakuwa ishara nzuri kwamba kweli mlipendana enzi hizo!

Ila ukome kuwatafuta wake za watu eti kisa uliwabikiri''

Nakaribisha swali lingine!
 
pole uwe unawasiliana naye kama sehemu ya kumfariji!usipotee sana,na muulize kama anadhani unaweza kumsaidia kwa namna yeyote ile!!ila kuwa makini usije kupigwa shoti ya umeme na jamaa wa tanesco!


mkuu asante sana kwa ushauri na nimeuchukua na nauahidi moyo wangu kutomtenga kabisa
 
Nadhani haina maana kama mtu niliembikiri basi nisimtafute milele na ckua na nia ya kugegeda tena ilikua katika urafiki na mahusiano ya kawaida na kwa taarifa yako tu mimi X girlfriends wangu wote hua ni rafiki zangu wakubwa na ninashirikiana nao mambo mengi kwani kuachana sio ugomvi kama wengi mlivozoea
 
Kama nia yako ilivyo tafuta namna nzuri itakayowwza kumpa faraja lakini kwa uangalifu sana maana sasa ni mke wa mtu.
 
Sikwenda kwa nia mbaya na wala sikumtafuta ili nimgegede hapana naomba nieleweke na hilo limezuka baada ya kuonana nae na kimsingi imeniuma sana.


Wewe unatafuta kifo wewe
Mke wa mtu unamtafuta tena unaenda hadi kwake
Jisahihishe jomba sio mpango
 
Kweli kabisa nitafanya hivo kwani najihisi nina deni la kumfariji na awe na furaha katika maisha.


Kama nia yako ilivyo tafuta namna nzuri itakayowwza kumpa faraja lakini kwa uangalifu sana maana sasa ni mke wa mtu.
 
Ama kweli Hadithi hainogi bila kumtaja sungura, kama vile thread za MMU hazinogi pasipo kutaja kugegedana!!!
 
Wana jamvi, nimejikuta leo nadondosha machozi kwa muda baada ya kumwona dada niliyemtolea bikra yake miaka ishirini na tatu iliyopita. Kwanza kipindi hicho tulikua mkoa wa kanda ya kati mwa Tanzania mimi na familia yetu, hatimae tulihamia mkoa mwingine na kwa kua sim hazikua nyingi tulipotezana sana.

Siku moja nikiwa na mishemishe zangu kweda Msumbiji kwa bahati nikaonana na brother mmoja tuliekua tupo nae enzi zile nikawa nimemuulizia huyu dada akanielza yupo Morogoro na alishaolewa na mfanyakazi wa Tanesco. Mungu si Athumani kwa juhudi zangu zote nilimtafuta na akanielza kweli yupo Mji kasoro bahari.

Nilifika hiyo jana kwake na niliongea nae mengi sana akasema bado ananipenda na akanieleza barua niliyomwandikia kipindi kile moja wapo aliitunza na angetamani tena nimgegede lakini tatizo ni kua sasa ni mwathirika wa HIV na yupo kwenye dozi ya ARV kwa muda sasa. Alilia sana na kunikumbatia bila ajizi, machozi yalianza kunitiririka na mimi lakini namwombea kwa mungu amsaidie kwani kuathirika sio mwisho wa maisha.

Halafu wewe inaelekea ni mtu mzima sana; huwa sipendagi vidume vinavyolialia mie. Shame on you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom