Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi. Ni hv nina rafiki yangu kipenzi tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume wa dada yake akashitukia issue dada mtu akambembeleza mdogo mtu aokoe jahazi kuwa prf ni wake na si wa dada kakubali kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki. Prof akaamua kuchua jumla mdogo mtu baada ya mwaka na zaidi hv. Sasa isue iko kwa dada mtu kaenda kumwomba mdogo mtu kiac fulani cha pesa akaambiwa hana mambo yake safi lkn dada kaja juu ugomvi kwa kwenda mbele hawaongei ni balaa kweli kaniuliza afanyeje nimemwambia asubiri nitampa jibu kesho nisaidieni nimwambieje??

DA hata mimi sijakusoma vizuri!!Tatizo ni mdogo mtu kuchukuliwa jumla na prof au kukataa/shindwa kumsaidia dada yake???

shida ni kwamba mdogo mtu hapo alipofika mambo safi kumzidi dada ni kwa sababu ya dada yake kwanini asimpe msaada wakati yeye ndo kamwezesha kufika hapo?
Sina kawaida ya kupost new post usiku ila hii imenibidi. Ni hv nina rafiki yangu kipenzi tulikuwa wote mzumbe ikatokea dada yake anachakachuliwa na prof wa hapo chuo nje ya ndoa, mume wa dada yake akashitukia issue dada mtu akambembeleza mdogo mtu aokoe jahazi kuwa prf ni wake na si wa dada kakubali kwa bahati mbaya mke wa prof akafariki. Prof akaamua kuchua jumla mdogo mtu baada ya mwaka na zaidi hv. Sasa isue iko kwa dada mtu kaenda kumwomba mdogo mtu kiac fulani cha pesa akaambiwa hana mambo yake safi lkn dada kaja juu ugomvi kwa kwenda mbele hawaongei ni balaa kweli kaniuliza afanyeje nimemwambia asubiri nitampa jibu kesho nisaidieni nimwambieje??

shida ni kwamba mdogo mtu hapo alipofika mambo safi kumzidi dada ni kwa sababu ya dada yakekwanini asimpe msaada wakati yeye ndo kamwezesha kufika hapo?
Kazi ipo kwani mtu akiomba kitu lazima upewe jamani aaahhh
Alipoomba msaada wa mdogo wake kuchakachuliwa ulipatikana au kwa vile ni Prof? mhhhhhhhhh makuu MR au sio?