mambo kama haya ndio yamefanya wananchi Mali kuingia Ikulu na kumtimua rais, maana unakuata 'wahuni' mliokuwa mnaowajua wanaingia ofisi zisizotarajiwa!watapiga stori za utotoni
CCm kuna mtu na basha ake, kama huamini muulizeni FF.Chadema kuna mtu na mchumbake, kama mnabisha muulizeni TUNTEMEKE.
CCm kuna mtu na basha ake, kama huamini muulizeni FF.
Mbona mnakuwa na negative kwa kila jambo wa Tz tubadilike na wakati sasa kama huyu Rihanna mgesemaje anacheza tu na ndgu yake
Hapo tayari ameshazibwa mdomo na kuingizwa rasmi kwenye kambi ya mafisadi. Akatae aone cha mtema kuni....nzi type!Hivi jamaa aytaendelea na uenyekiti wa ile kamati ama inakuwaje?
Mbona mnakuwa na negative kwa kila jambo wa Tz tubadilike na wakati sasa kama huyu Rihanna mgesemaje anacheza tu na ndgu yake
Horseplay: Rihanna posted this picture of her and little brother Rajad on her Twitter account![]()