dada mwenye nyumba anataka na weza kuendelea

dada mwenye nyumba anataka na weza kuendelea

Ninavyoona wote hao hakuna unaempenda afadhari ujipange upya manake ndoa ni taasisi nyeti. Wengi wameingia wakiwa na mtazamo kama wako na wamezifanya ndoa zionekane chungu . Kumbuka moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu na una ugonjwa wa kufisha je ni nani awezae kuujua...........
 
Wana jf nishaurin hili dada mwenye nyumba kaonyesha kudata na mim tatizo ni kwamba nina mchumba naye huja nyumbani kwangu kila mwisho wa wik nifanyaje na huyu dada na ametamka yupo tayar ku share lakin hapa nyumban kunampangaji mwingime msichana naogopa anaweza kumsimulia mchumba nifanyaje

ushaona kuna vizingiti, kwan lazima ukubali?
 
Unataka kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa?au unataka kutafuna pamoja Big G na karanga?inajulikana haiwezekani.
 
Waende gesti...? Gesti haitasababisha magonjwa ama itaficha siri kwamba ni wapenzi? Unajua za mwizi arobaini na zaidi kuna mazoea fulani yataanza ata jirani atashtuka.Nadhani aache uzinzi gesti si suruhisho
 
Wana jf nishaurin hili dada mwenye nyumba kaonyesha kudata na mim tatizo ni kwamba nina mchumba naye huja nyumbani kwangu kila mwisho wa wik nifanyaje na huyu dada na ametamka yupo tayar ku share lakin hapa nyumban kunampangaji mwingime msichana naogopa anaweza kumsimulia mchumba nifanyaje

Ikimbieni zinaa.
 
Back
Top Bottom