Lawama nyingine hazina maana kabisa. Yaani knamlaumu mtu kuangukia sehemu kama hii. Hivi ndege ikipasuka angani kuna abiria atachagua kuanguka nchi kavu? Si kila mtu atamwomba Muumba wake aangukie kwenye maji? Kwa hapa "mungu" wa Dar umepatia mwaya wala wasikuzodoe, kamatia chini!!
Nyakyusa girl kwakweli aggy amejaaliwa but 0 brain hajui kutumia msambwanda wke akachukue hta ushauri kwa vera sidika tena wa vera ni fake lkn anaogelea midola!!!!
Binadamuu! Jeuri yetu ni ndogo Sana hapo siku ya kufa hakuna atakayependa hata kumsogelea, uzuri wote umbo lote zuri litakuwa thaman ya funza na udongo...
Hao wanaomtaman sasa na wanaomfaidi siku ikifika watamwogopa na hata kukwepa kaburi lake....
Hata kuwa na rafiki tena wala Mtu anayempenda giza totoro upweke na adhabu ya kaburi ndio vitakuwa karibu take...
Haya maisha Haya
Ama kweli Maanani Hakosei,
Laki si pesa haha Kiuno kimejinyoga kama Roundabout ya Msimbazi,katoboa Kitovu,vikuku Miguu yote hivi kweli (Rc) anasitahili kumuchezea mpaka sehemu za siri..?