Dada katoa dongo la ukweli kwa wanaume

Dada katoa dongo la ukweli kwa wanaume

mnaoshabikia mna akili kwenye nywele na sasa zimenyolewa upuuuzi huu wa kusifia utegemezi yaani comment mwanzo mwisho inawadhallisha wanawake kuwa ni wategemeziiiii wategemeziiiii wa mwanaume lazima mkubali kuwa 1+1=2 sasa iweje 0+1=2 hizi hesabu ndo zinawafanya wanawake weeengii kuwa milupo hata walioolewa nao ni milupo aka loose ball unavuta unajipigia kisa hela na ndo maaana akili zenu kwa mwanaume zinaangalia makalio eti wallet imetuna niniiiii ......maaaviii kabisa akili
 
Mkuu Tized tatizo hili halikuishia kwenye vijana tu Mkuu, wale wanaotaka penzi la kweli na siyo pesa idadi yao ni ndogo sana siku hizi. Pesa ndiyo ingekuwa sababu ya penzi kushamiri basi kule Hollywood ndoa/mapenzi zingeshamiri/yangeshamiri sana kuliko mahali popote pale duniani.

Mkuu BAK mind polution iko kwenye PEAK kwa hawa vijana wetu... Enzi zetu sisi baba zao hali haikuwa hivi.
 
Last edited by a moderator:
Niruhusu niwe nakunukuu Mkuu BAK hapo kwenye red tafadhali. Umemaliza Mkuu. Loooooo!!!!!
Mkuu Tized tatizo hili halikuishia kwenye vijana tu Mkuu, wale wanaotaka penzi la kweli na siyo pesa idadi yao ni ndogo sana siku hizi. Pesa ndiyo ingekuwa sababu ya penzi kushamiri basi kule Hollywood ndoa/mapenzi zingeshamiri/yangeshamiri sana kuliko mahali popote pale duniani.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe tena Mkuu wangu!!! Wala usikonde kuninukuu siku yoyote ile Mkuu Tized nami naomba fursa hiyo toka kwako Mkuu.

Niruhusu niwe nakunukuu Mkuu BAK hapo kwenye red tafadhali. Umemaliza Mkuu. Loooooo!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Many thanks Brother BAK, This is mutually agreed. Praying more Blessings your way!!!!!!!!!
Uwe na siku njema sana Mkuu.
Wewe tena Mkuu wangu!!! Wala usikonde kuninukuu siku yoyote ile Mkuu Tized nami naomba fursa hiyo toka kwako Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
haya utandawazi umebadilika sisi tutafute pesa na nyie je!!!!
 
ah na mwanamke nae apanue papuchi zama za oh mie mke wako hamna unato.mbwa na kupewa pesa basi.

kama wataka kuhudumiwa basi kuwa wife material...na sheria namba moja ya wife material ni kuwa na plasta
asanteeee
 
asanteeee

u welcome...ah mtu anataka kuhudumiwa wakati hastahili kuudumiwa, bliv it or not a smart man ata hudumia mkewe tuu, kama anataka kukojoa anatoa hela anapata service. if that makes u feel cheap its becoz u cheap
 
Back
Top Bottom