Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Ungekua umefuatilia tulikotoka, tuliko na tunakoelekea , na uhusika cha MACCM na vyombo vya dola kukandamiza wadai haki na maslahi ya wengi... comment yako ungeiandika vinginevyo... HUWEZI IEPUKA SIASA mkuu hata kwenye familia yako sema tu kwa vile hamna vyama lakini siasa ni sehemu ya maisha ya kila mtu atake asitake.
Ila kwa kuwa wengi wanajua siasa ni ujanja ujanja na uwongo.,, kutoakana na inavyojitokeza kwa wengi wetu, basi uelewa umeendelea kupungua... ila sivyo ilivyo
Ila kwa kuwa wengi wanajua siasa ni ujanja ujanja na uwongo.,, kutoakana na inavyojitokeza kwa wengi wetu, basi uelewa umeendelea kupungua... ila sivyo ilivyo
Na wewe unawapoteza uwaulize mambo ya siasa ya nn, kuna siasa za kifuatilia nchi hii kila cku unamkuta mbowe anatafuta umaarufu bila sababu.wanasiasa wetu wanajua maandano tu na migomo.uchumi utaanzia wapi kuufuatilia, jisomeen au michezo kwisha.