Hawana lolote hao .....Mbona mnatunanga hivyo wandugu lakini?... NA NYIE SI MTAFUTE ZA KWENU? ...kwani shida iko wapi?
Balaa hill yan wee tafuta as much as can zangu ni zangu zako ni zetu hahahaaaaaaa
Yaani nikuoe, nikugharamikie kila kitu hadi mafuta ya kuendea kazini, uwaache wanangu walelewe na mfanyakazi, mimi nitunzwe na mfanyakazi halafu tena zako ziwe zako?? you cant be serious anyway... Ni nini unafuu wa sisi kutunzwa na dada wa kazi ili wewe uende kazini?
Kaa nyumbani unilele wanangu na mimi nikirudi kukuhangaikia nipate walao wa kunifariji na kunitia moyo.. sio nimerudi na stress zangu za kazi ama biashara na wewe unazo hivyo hivyo halafu mwisho wa siku unachokifanya hakionekani impact yake kwenye familia... Kwa nini nikuruhusu uende kazini if that the case? Huo umoja tunaouhubiri ni upi?.... Jidanganyeni tu huko uraiani. Wakuu Mr Rocky, watu8, BAK hali kwani ikoje maaana sisi vijana wa zamani ilikua tofauti sana na leo
Mwanaume ni Kicha cha Nyumba, msikieni yeye. Maandiko yanamsema kama Mtawala wa mwanamke (si unajua kuna tofauti ya mtawala na kiongozi sio) nyie leteni za kuleta tutumie rungu letu... Hahahahaaaa... Am kidding anyway.
Vichwa vya familia vimejaa mchwa had kwenye damu
Mhhh, ukimuuliza huyo demu kama baba ake ana hela, usikute anakuletea njaa tu
Yaani nikuoe, nikugharamikie kila kitu hadi mafuta ya kuendea kazini, uwaache wanangu walelewe na mfanyakazi, mimi nitunzwe na mfanyakazi halafu tena zako ziwe zako?? you cant be serious anyway... Ni nini unafuu wa sisi kutunzwa na dada wa kazi ili wewe uende kazini?
Kaa nyumbani unilele wanangu na mimi nikirudi kukuhangaikia nipate walao wa kunifariji na kunitia moyo.. sio nimerudi na stress zangu za kazi ama biashara na wewe unazo hivyo hivyo halafu mwisho wa siku unachokifanya hakionekani impact yake kwenye familia... Kwa nini nikuruhusu uende kazini if that the case? Huo umoja tunaouhubiri ni upi?.... Jidanganyeni tu huko uraiani. Wakuu Mr Rocky, watu8, BAK hali kwani ikoje maaana sisi vijana wa zamani ilikua tofauti sana na leo
Mwanaume ni Kicha cha Nyumba, msikieni yeye. Maandiko yanamsema kama Mtawala wa mwanamke (si unajua kuna tofauti ya mtawala na kiongozi sio) nyie leteni za kuleta tutumie rungu letu... Hahahahaaaa... Am kidding anyway.
............................hahaaa!!! kuzaliwa na wazazi masikini its isnt my fault bt kuolewa na mwanaume asiye na pesa its totaly my fault, soo hebu tutendeeni haki tafuteni pesa wanaume janini.
Wanawake na nyie mjitahidi walau kuongeza uelewa na upeo wa mambo mbalimbali. Kucha kutwa mnasoma magazeti ya udaku tu, sijui nani kafumaniwa, huyu kafanya vile. Ukiulizwa hata jambo dogo tu la kisaisa au kiuchumi haujui kitu. Unajua wasanii tu tena wa bongo movie. Hayo si maisha. Wanaume siku hizi tunapenda wanawake wenye upeo wa mambo mbalimbali, local politics, international politics, uchumi, world sports, technology n.k. Yaani unatoka na mwanamke ana kutia aibu, kila mada mkiongelea kimya tu, kila mada kimya. Mkiongea kuhusu wasanii wa bongo movie, utafikiri amewekea cd mdomoni.
Wanaume tunataka mwanamke ambaye anatambue ulimwengu unavyokwenda. Mnatia aibu sana nyie. Wengine wasomi kabisa lakini general knowledge kichwani hakuna kabisa. Someni magazeti na vitabu mjifunze vitu.

Aisee...!! Unakunywa kinywaji gani weekend hii uogelee....!!
Best comment ever