Mama Dori kazua balaa.ok ni matejoo si ndio?!!..hutu mama dori ana waume wangapi?!!...maana hata jr ana mume anaitwa fadhili
Kuna sababu Lukuki.., ila mojawapo inaweza kuwa amachanganyikiwa au kapatwa na majanga kwa lolote lililotokea ni vema ndugu wakajua, na kutoa taarifa na kuomba msaada ndio njia pekee ya ndugu kutimiza wajibu waoMtu mzima anapoteaje?
Mkuu unamjua huyo mama Dori?Mama Dori kazua balaa.
Ina maana ana waume wawili?
MUNGEONGEA TUU HAPA HAPANjoo PM mkuu tuongee zaidi mkuu....
Ujaleta mrejesho vipi kapatikana?Wandugu tumepotelewa na dada huyu, katoka nyumbani (Matejoo kwa Giriki) tangu siku ya Juma tano tarehe 24/04/2019. Tumemtafuta kila mahali bila mafanikio. Tumeambiwa alionekana maeneo ya Kwa-Mromboo. Mara ya mwisho alivaa malapa ya bluu, kitenge cha kijani, koti jeupe (dogo), kichwani kajifunika mtandio wa rangi ya zambarau. Tumetoa taarifa polisi (Kituo cha Ngarenaro) na tumepewa RB namba: NG/RB/504/2019.
View attachment 1084528
Yeyote atakayekuwa amemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige namba zifuatazo;
0742-832-390 (Mumewe)
0756-336-967 (Baba Mkwe)
0758-263-074 (Shemeji yake)
Asanteni sana.
Atarudii;kwa mro mboo ni shida
Atakuwa alikaribishwa ndafu na baharia kisha tabasam LA bashasha...ongezea hapo na dompo 2
na ukizingatia alishamchukia mumewe,akaona kampata mbwana