Dada Huyu Kapotea na Anatafutwa (Arusha)

Dada Huyu Kapotea na Anatafutwa (Arusha)

Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
Mkuu kwanza niwape pole kwa kadhia hii na ni vyema mmetoa taarifa polisi kuondokana na sintofahamu zaidi.
Kwa intelijensia ya haraka huyo dada ametoroka nyumbani n kwenda kujificha. Muhimu ni kuendelea kumtafuta asije kujidhuru au kudhuriwa zaidi...
Poleni
 
Asante sana Mkuu, ndo hivyo tunaendelea kumtafuta mkuu..., thanks again.
 
Anasali kwa mchungaji gani maana hawa wachungaji na akinamama sijui wanashida gani? Anzia huko kwa mchungaji wake inawezekana wanamkesha wa wiki nzima
 
Kumbe mtu mzima hivyo?huyu yupo kwa mumewe mwingine subirini mahari
 
Siasa ni maisha yetu ya kila siku na kila tunachokifanya.Mtu mzima mwenye akili yake kupotea sio rahisi.Pia tokana na maelezo ya upande mmoja ya kwamba "anamchukia mume wake"Ni dhahiri kaondoka kwa hiyari yake.Je ni kwanini anamchukia mume wake?
Je anayo simu ya kiganjani?
Kama anayo mmewai dadisi mawasiliano yake?
Na kama anayo kaondoka nayo ama kaicha?
Je amewai kuwa na marafiki ama mashoga wa karibu?
Umewai kuchunguza nyendo zake kama iko tofauti yeyote?mfano anakawia kurejea kutoka sokoni ama anaongea na simu mda mrefu,
Kifupi kuna namna nyingi ya kudadisi haichukui hata siku mbili mtampata.Tatizo hutaki kuwa muwazi tukusaidie
Rich acha mizengwe, hizo vurugu peleka kwenye majukwaa ya siasa, maana una nguvu sana ya kudadisi, watu wamepotelewa ndugu yao wewe unaleta mapambano, please.
 
Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui
Kuna kitu kibaya mumewe kamfanyia au alitaka kumfanyia, mambo yale ya biriani just speculation
 
hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...? nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake...tu!
 
hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...? nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake...tu!
hivi michezo...ya kuputea bado...ipo...?(Ipo mkuu ndio maana tumeliripoti) nahisi kuna kitu itakuwa mmemfanya (mumewe kasema hakuna mkuu, ila siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe huwa akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!) ndio maana ametafuta nusra...huyo yupo kwa hawala wake (no comment mkuu..)...tu!
 
una miaka mingapi...?
 
Alikuwa na wadhifa wowote kwenye upinzani kama cuf, chadema au act maana anaweza akawa ame Saananewa.
 
Alikuwa na wadhifa wowote kwenye upinzani kama cuf, chadema au act maana anaweza akawa ame Saananewa.
Hapana Mkuu, alikuwa mama wa nyumbani tu...
 
Jibu maswali haya ntakwambia alipo..

Kipato cha mmewe kikoje.?
Binti ana umri gani na mmewe ana umri gani.?
Wakati wanaamua kuishi pamoja alilazimishwa or ni hiyari yake mwenyewe.?

Inakuaje mke atoke nyumbani na kwenda kuzulula hukua akimwacha mtoto wa miaka miwili nyumbani.?
 
Tumwombee upatikane salama na pia Mungu aweze kumkumbusha wajibu wake kama mama,na ata kama kuna misuguano kwenye ndoa yake aweze kuipita na kuivumilia na kuanza upya.
 
Sikia..Huyo anapakuliwa biriani somewhere ndo ugonjwa wa wake za watu wengi sikuhiz.sorry kama ni dadaako
 
Back
Top Bottom