Dada Huyu Kapotea na Anatafutwa (Arusha)

Dada Huyu Kapotea na Anatafutwa (Arusha)

Baada ya kuambiwa anachukiwa bila sababu alifanya nini?
Nadhani kuna vitu jamaa alimdadisi ili kujua tatizo??
Alijibiwa nini?
 
Ni hivi, huyu dada /mama ana mwanaume mwingine, inawezekana kabisa huyo mwanaume kuna vitu kamwekea huyo dada /mama (limbwata )hivyo kupelekea kumchukia mumewe. Ushauri: mwanamke ukishaolewa tulia na mume wako hata kama alikuwa tajiri then akafilisika..
 
Wandugu tumepotelewa na dada huyu, katoka nyumbani (Matejoo kwa Giriki) tangu siku ya Juma tano tarehe 24/04/2019. Tumemtafuta kila mahali bila mafanikio. Tumeambiwa alionekana maeneo ya Kwa-Mromboo. Mara ya mwisho alivaa malapa ya bluu, kitenge cha kijani, koti jeupe (dogo), kichwani kajifunika mtandio wa rangi ya zambarau. Tumetoa taarifa polisi (Kituo cha Ngarenaro) na tumepewa RB namba: NG/RB/504/2019.

View attachment 1084528

Yeyote atakayekuwa amemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige namba zifuatazo;
0742-832-390 (Mumewe)
0756-336-967 (Baba Mkwe)
0758-263-074 (Shemeji yake)

Asanteni sana.
Gender violence?????????????????/
 
ok ni matejoo si ndio?!!..hutu mama dori ana waume wangapi?!!...maana hata jr ana mume anaitwa fadhili
Mkuu hebu rejea kwenye picha nliyoweka hapo mwanzo wa huu uzi nauangalie vyema picha. Huyu ninaemtafuta ni Mama Dori wa Kifaru Bar (mbele ya kwa Giriki), labda kama aliolewa mara mbili, ila kazaa na kijana mmoja anaeitwa Oscar wa Matejoo....
 
duh haya maajabu.... wanawake tuwe nao makini sana kuna possibility huyu mwanamke ana waume wawili
 
Back
Top Bottom