- Thread starter
- #21
Kapotea?
Ana tatzo lolote la kiakili?
Aliacha ugomvi nyumbani?
Mnahisi katekwa? Kwa nini?
Asante mkuu, naomba nikujibu ifuatavyo;
Kapotea? Ndio Kapotea
Ana tatzo lolote la kiakili? Hapana, ILA siku moja kabla yakupotea alimwambia mumewe kwamba akimwona anahisi kumchukia bila sababu!!!!!
Aliacha ugomvi nyumbani? Hakuna ugomvi wowote
Mnahisi katekwa? Hatujui mkuu Kwa nini? Hatujui