Dada huyu anatisha mitaa ya k.nyama na makumbusho

Dada huyu anatisha mitaa ya k.nyama na makumbusho

kweli kuta zinaficha mengi huko chumbani sijui anawafanya nini hao watoto
 
Sasa kwanini mnaweka kimafumbo? si muweke picha yake na jina mumtaje


mmh tunamjua jina? sisi tuna mwona kwakuwa twaishi karibu na Hotel aipendayo.. na sisi wengine ni wapenzi wa ku-swim.. weekend days tunakwenda kuswim hapo hotelini basi tunakutana nae.. Tatizo huko chumbani anawafanya nini hao madada? Hatujui.. na hivyo visichana pia hatujui.
 
Maeneo yake mengine ni Royal bar serengeti ,piece, sisimko na bar moja iko karibu na kwa mongi zote hizi Ziko mwananyamala/ kijitonyama
 
Back
Top Bottom