Dada atupakisye mwakanosya

Dada atupakisye mwakanosya

Mkuu umenikumbusha maeneo yangu ya kujidai nilipokuwa MTC now MUST (Mbeya University of Science and Technology), ukishuka kidogo hapo unaibukia nzovwe then iyunga.
Ulikuwa ukienda mida gani kule, watoto wa Mzumbe walikuwa wanapaogopa sana. Umetisha Mkuu, we yalikuwa maeneo yako ya kujidai! Nzovwe, Mbalizi, Airport, Sayi, miss sana Green City. Mi ya kujidai ilikuwa Ilemi kama unakwenda Chunya.
 
upload_2017-2-14_12-28-14.png

Swala zima la kwenda na muda wa miadi kumuwahi atupakisye

Aione Mgirik
 
Dada yangu atupakisye mwakanosya akiwa tayar kwa Valentine View attachment 470315

Sikuwahi kudhania kuwa Mkoa wa Mbeya una Wanawake ' Warembo ' hivi ambao wanaweza hata kuwa Washindi wa Miss World. Kumbe Tanzania kushinda Miss World tukijipanga tu inawezekana kwani Wana Mbeya wametuonyesha aina ya Wanawake Warembo na wenye Sifa zote.
 
Ulikuwa ukienda mida gani kule, watoto wa Mzumbe walikuwa wanapaogopa sana. Umetisha Mkuu, we yalikuwa maeneo yako ya kujidai! Nzovwe, Mbalizi, Airport, Sayi, miss sana Green City. Mi ya kujidai ilikuwa Ilemi kama unakwenda Chunya.
Watoto wa Mzumbe lazima wapaogope kule, mimi maeneo hayo yote nafahamika muda wowote natimba tumeacha majina yetu huko!
 
simba woyeeee....huyu atakuwa shabiki wa mbumbumbu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom