ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Asante mkuuMaana yake ``KAZI NGUM"
Mbona mnatuonea sana wanyakyusa, dada zetu sio washamba kiasi hicho tembeleeni mbeya muone!
Acha ubaguzi wako wewe tuwekee picha ya dadako hapa tumthaminishe
Umenoga mdada bom festa.Maana yake ``KAZI NGUM"
Hapana, uyole ni ushuani kidogo. Huyu ni wa pale mabatini chini ya hospitali ya Meta.Kwakifupi jina la atupekisye wanyakyusa wanaliita 'atupye'.Hizi vurugu zake atakuwa anafanyia uyole mbeya
Wako strong sana, wanajitosheleza idara nyingi. Wako njema na si wapenda makuu. Kwao fursa nyingi nadhani kuliko mikoa yote ya Tz. Nawapenda, hawajui majivuno, si wachoyo, wako vizuri kwakweli.Ila hili kabila bas tuu
huyo ni Atu wa KK bila ubishi.
kuna mtu anakaa KK anaitwa Atu ngoja nimtumie hii pichaTulibhingi itoloNgiimba tulimo bhiingi muno nkubhabhonesya nkuti tukajha bhaandu bha nkino nkino tuandisye i "special thread" jhiitu
Leka amaheruLoli po mwalangani kuno aliko. Mienda miki igyo afwele? Asumwike ku mbwani?
Kk gani unayo zungumzia hii njia panda ya kwenda chuo cha magerezahuyo ni Atu wa KK bila ubishi.
Mkuu umenikumbusha maeneo yangu ya kujidai nilipokuwa MTC now MUST (Mbeya University of Science and Technology), ukishuka kidogo hapo unaibukia nzovwe then iyunga.Hapana, uyole ni ushuani kidogo. Huyu ni wa pale mabatini chini ya hospitali ya Meta.
Jilikughu nkamu?Indutu