Hawa wanawake saa nyingine wana akili mbovu sana mdogo wa mke wa kaka yangu aliwahi kuniganda hadi akadai atajiua iwapo nikikataa kabinti chenyewe n kadogo masikini yani kashangaa sana. Nilicho kifanya ni kumtonya jamaa yangu mmoja yeye hakulembesha. sasahivi kakiniona kananidharau lakini kwangu naona bora kudharauliwa kuliko aibu endapo wazazi wake na shem wengejua kwa jinsi wanavo niheshimu ningeweka wapi sura yangu.
Una maanisha mtoto wa mamako mkubwa ? Mamako na mamake wamezaliwa familia moja.Omba Mungu akuepushe na hilo hata sheria za nchi zinakataza achilia za dini yoyote ile.huyo ni dadako na mumwambie akatafute mume kabisa aolewe.inaonekana mnaishi nyumba moja kubwa yenye ndugu tofauti tofauti ndan