Dada anatafuta kazi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,038
8,925
Ana uzoefu wa kuuza duka la nguo na vipodozi, ni muaminifu pia mcha Mungu. Anatafuta kazi dukani, hotelini n.k ila isiwe duka la vileo.

Ameacha kazi sababu bosi wake amebadilisha aina ya biashara...Anapatikana dar simu no.0712498723
 
Uongezea cv kidogo
1. Tarehe ya kuzaliwa (tusije ajiri under 18)
2. Mahali pa kuzaliwa(icje kuwa muhamiaji haramu)
3. Marital status (Tujue ikiwa anaweza kufanya uamuzi pekee)
4. Lugha anazoweza ongea (Ikiwemo kilugha).
5. Idadi ya watoto (kwa ajili ya NHIF)
 
ha ha wadau kama mpo serious namba yake nimeweka hapo mtwangie tu atakujibu ila nakuhakikishia ni mtu mzuri sana kikazi,
 
6.Afya yake. hasijekuwa carrier maana ntahtaji kujiservia.
7.mentally fit, hasijenivunjia ndoa.
8. namba nane kwa figure nsijempa mimba alafu nkamtaa kama ni pentagon
 
Habar wanajamvi samahan natafuta msichana wa kazi awe tayari kufanya kazi kwa moyo wote kwan nategemea aweze kujiendleza ktk fani ya Ufundi kulingana na makubaliano yatakayokuwepo baina yetu, kwa mawasiliano piga 0744708354
 
Awe wa aina gani???
 
Kwangu mm ntashindwa kabisa maana nna pepo la mahaba nionapo sketi . very sad
 
Back
Top Bottom