Dada anaomba ushauri tumshauri jamani yamemfika shingoni

Dada anaomba ushauri tumshauri jamani yamemfika shingoni

Hapo mwamba hajui kama anaishi na jini ndani ya nyumba. Kuishi na mwanamke nyumba moja kwa miaka yako yote iliyobakia hapa duniani ni jambo la hatari sana.
 
Mwanamke kama huyu siku akipata mchepuko hensamu ambaye anahisi utamzalisha mtoto mzuri, hatosita kuwawekea sumu kwenye chakula mme na mtoto wake ikiwa tu kama atahakikishiwa ndoa na mchepuko huyo na kumuondoa mme wake ndio shariti alilopewa.
 
Dah,nimetokea kumuonea huruma huyo mtoto sana.
 
Huyu dada awahishwe Milembe makao makuu [emoji276]
 
Tatizo unajinafikia wewe mwenyewe,everything is beautfull in nature,ubaya ni mtazamo wako tuu,hakuna mtu ni mbaya ,ukipewa sura mbaya anapewa Tako,au akili.
 
Na akimpost huyo mtoto kweny mtandao atafaidika na Nini?.....wanawake bhnaa!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom