Huyo ni mtoto wa rihana na asap rocky jamaa kaweka tu pichaKwa hiyo unafikiri structure ya hiyo skull yaani Head itabaki hivyo hivyo akikua!!?halafu muonekano wake sio mbaya kama unavofikiri no mind set yako tu!!
Pole so beautiful by the way!
Ampende tu mwanae ndo kashapewa huyo na Mungu hakuna namna.Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.
Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.
Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.
Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.
NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.
Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.
Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.
Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.
NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Nani kasema mbaya !Kwa hiyo unafikiri structure ya hiyo skull yaani Head itabaki hivyo hivyo akikua!!?halafu muonekano wake sio mbaya kama unavofikiri no mind set yako tu!!
Pole so beautiful by the way!
Hakuna mtoto mbaya wala mzuri .wambie ambassador hawana watoto hata uyo mbaya hawana acha ujinga weweNaomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.
Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.
Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.
Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.
NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Me
Je huyo mtoto akiwa na mwonekano mzuri ni kitu gani kitabadilika Katika maisha Yake.
[/QUOTNi kama vile White Privilege.Ukishakuwa mzungu basi waafrika wanajua ni mtalii na ana dollar kumbe volunteer TU.Me
Je huyo mtoto akiwa na mwonekano mzuri ni kitu gani kitabadilika Katika maisha Yake.
Sema Kwa athari za ukoloni mpaka Leo Bado tunaabudu ngozi nyeupe.
Na chance za kufungulia milango ni kubwa ukiwa mzuri au mweupe.
Huyo mama ni kichaa msafi, kichaa anayejua kuoga hivyo tu yaani.Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.
Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.
Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.
Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.
NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Ni ukichaa promax, angekuwa mwanaume wa barabani tungesema bahati mbaya alipita mimba, halafu anasema tatizo baba anampenda mtoto wake, kama wanafana imebaki nini kama sio upendo? Vichaa ni wengi mjiniMama ngedere amekuwa ni bora kuliko mama wa binadamu. Siku hizi kuna akina mama wanazidiwa hata upendo na malezi na wanyama.
Sasa mtoto wako, umemzaa mwenyewe, tena unasema anamfanana baba yake. Sasa kama aliona baba yake mbaya kwanini aliamua kuolewa naye. Aache ujinga. Unaolewa na mwanaume mweusi kama mimi sura ya kazi unataka uzae mtoto wmeupe mwenye nywele za shombe shombe wakati hata wewe nywele zako umezitia dawa na weupe wako wakununua dukani.
Ni ukosefu wa elimu