Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Kuwa na mahusiano na mtu flani haimaanishi kwamba hamuheshimiani
 
kwani wewe unataka uombwe baada ya muda gani? kwangu siku tatu tu zinatosha, inabidi upajue home
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji4] [emoji4]

We ndio fala kweli.......
Mm mwanaume nawaambia wanaume kama si wavulana wenzangu mbadilike acheni tabia yenu ya kuomba papuchi mapema ikiwezekana oa kabisa ujilie vzuri au kaa hata mwaka 1&3 ndio umuombee nyapu.....

[emoji4] [emoji95] [emoji379]
 
haya umesikika
 
acha ubwege wewe? ndiyo tatizo la vijana walio kosa mafunzo ya wajomba. kuacha kitu kama hiyo ni mwiko mkubwa sana kwa mtoto wa kiume. ukikataa kubali kuhitwa shoga au jogoo awiki.
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38]
Unaangalia na mazingira sio kila kitu unafuata utamaduni mila na desturi.....
Vitu vingine vya kufikiria sio kukimbilia kula nyapu.......

[emoji4] [emoji95] [emoji379]
 
Kama unataka kumla tu(of which haitopendeza) maana ushasema interest nae huna.
kwakweli sina mpango naye wowote, amekuja katikati tu, ila bana haya mambo ya mapenzi kizungumkuti, unaweza kujikuta wewe ndo unakuwa teja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…