Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Dada ananipigia pande kwa mdogo wake

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,738
Reaction score
12,428
Sometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya mdogo wake kuja kuishi naye.

Mwanzoni alinambia nataka uwe shem wangu kwa hiyo ongea naye dogo atakuelewa tu nikamwambia poa kisha nikapotezea, sasa hiyo siku dada kanipigia tukaongea kisha akanambia ongea na dogo, nikashindwa kukataa, katika kuongea naye nikamtongoza maana mtoto mwenyewe 'sio wa nchi hii' ila mtoto akavunga, baadaye dada kanipigia anauliza vipi nikamwambia bado somo halijamuingia vizuri akasema usjali.

Kesho yake akapiga akampa tena kuongea naye akaelewa, hata sijui alimpanga vipi, sasa huyu mtoto sikuwa na mawazo naye kabisaa je, nikimgonga sina future naye si ndio mwanzo wa kutengeza uhasama huu, na madada wa humu unaweza fanya kitu kama hiki au ulishawahi kufanya?

NOTE: Huyu dada tulikuwa tunaheshimiana sana before.
 
kampime MIMBA na UKIMWI, Pengine ana kimimba kimekataliwa na mwenyewe atafutwa mlezi, au usikute dada ameridhika na tabia zako, ameona unamfaa mdogo wake, ila kama huna mpango wa kuoa achana nae, si bure kuna sabab dada anayofanya. JIONGEZE.
Ahsante, nitazingatia neno kwa neno
 
Sometimes mambo mengine yanashangaza sana, dada yangu anafanya biashara na dada flani kitambo tu na tunafahamiana vizuri, mwanzoni alikuwa ananiita kaka ila siku hizi ananiita Shem hii ni baada ya mdogo wake kuja kuishi naye.

Mwanzoni alinambia nataka uwe shem wangu kwa hiyo ongea naye dogo atakuelewa tu nikamwambia poa kisha nikapotezea, sasa hiyo siku dada kanipigia tukaongea kisha akanambia ongea na dogo, nikashindwa kukataa, katika kuongea naye nikamtongoza maana mtoto mwenyewe 'sio wa nchi hii' ila mtoto akavunga, baadaye dada kanipigia anauliza vipi nikamwambia bado somo halijamuingia vizuri akasema usjali.

Kesho yake akapiga akampa tena kuongea naye akaelewa, hata sijui alimpanga vipi, sasa huyu mtoto sikuwa na mawazo naye kabisaa je, nikimgonga sina future naye si ndio mwanzo wa kutengeza uhasama huu, na madada wa humu unaweza fanya kitu kama hiki au ulishawahi kufanya?

NOTE: Huyu dada tulikuwa tunaheshimiana sana before.

Headline yako ya uzi ina ukakasi mno hasa kwa sisi Watumiaji wa Kiswahili sanifu kabisa. Hivi inawezekana kweli DADA AKAKUPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE? Je Headline yako ingekuwa MFANYAKAZI MWENZANGU WA KIKE ANANIPIGIA PANDE KWA MDOGO WAKE isingependeza Mkuu? Wengi wetu hicho Kichwa chako cha Habari tumekielewa kama vile Dada yako wa damu kakupigia pande kwa mdogo wake na ndipo ulipotuchanganya hapo Mkuu. Siku nyingine jitahidi mno kuweka Headline yako ieleweke na iwe very striking ili ivutie hata kutiririka nayo. Ni ushauri tu lakini usianze kumaindi na ukanipovukia bure!
 
mi mbona mazali ya hivo siyapati....usichezee zali la hivo man ....bandua tu ....uskute wanakupima kama nawewe ni Omy dimpoz....
 
Back
Top Bottom