Dada amwaga matusi hadharani

Dada amwaga matusi hadharani

hiyo ni side A..side B ni (dam=bwawa) au (dam=mzazi jike wa mnyama-mamalia) au (dam=decametre)

"dame" na "dam" ni vitu viwili tofautii....hiyo side A alichosema majibu yake ndio sahihi kwa maana ya dame is a woman, in old english ...
 
ukitaka tugombane niite demu!!!!!!bora useme mi ni rafiki yako lakini si kuniita demu nahisigi ni dharau kwa mdada kama mimi ninayeejielewa kuniita demu?
 
Wee demu una mkwara!
ukitaka tugombane niite demu!!!!!!bora useme mi ni rafiki yako lakini si kuniita demu nahisigi ni dharau kwa mdada kama mimi ninayeejielewa kuniita demu?
 
A case of "lost in translation", indeed.
 
Nachukia sana mtu kuniita demu maana hilo varangati sijui inaweza kuishia wapi? bora unipige kuliko kuniita demu
 
Yaani sipendi kabisa kuitwa hilo jina..... Eti "dem wangu" khhaa, naona lipo kihuni huni
 
AAAH...demu...kingaspera...kindege msikiti...kimanjano...kichinchede..kiluzipoint..kintede...kimrax...kindulele...kisampwiru..kisampuli,wanawake wanamajina mengi all in all MAMA
 

Attachments

  • 1415127307326.jpg
    1415127307326.jpg
    53.9 KB · Views: 178
Kwa kiinglish halina maana mbaya ila kibongobongo linatumika kihuni sana.

Mtu awaye yote na asiniite hilo jina!
 
Back
Top Bottom