Stiffler88
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 158
- 495
acha uoga, mindset yako ipo too negative, wangapi wameoa na wapo vizuri tuuu.. n suala la mtazamo, kikubwa nia iwepoAsee kuna the way nyuso za watu zinabadilika once nikiwajibu sijaolewa.
Mama yangu anapenda kuniforce ety niolewe ili nizae watoto watatu her argument is mwanamke akikaa kwenye nyumba yake she is a queen. . Nawaza hao watoto watatu atawalea yeye? Jee nikipata mume wa kunidunda, kunicheat etc bado ntakua queen tu au ntaishia kua single mother ?
Life is like poker, always make sure you have an Ace up your sleeve.
Sent using Jamii Forums mobile app