DAD and SON ... mbona kama wote wasela tu?

DAD and SON ... mbona kama wote wasela tu?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,454
Reaction score
17,933
dogo kazaliwa mwaka 1994, kuleeeee canada!

kipaji chake cha muziki kiligunduliwa mnamo mwaka 2008 na scooter brown, american talent manager.

hapa yuko katika kitaa na mdingi wake!

307423_336584749775082_766769578_n.jpg
 
kibongo bongo siwaonagi mastaa wakiwa katika snap na wazazi wao!

mostly utakuta na wanawake tu na washkaji!
 
kibongo bongo siwaonagi mastaa wakiwa katika snap na wazazi wao!

mostly utakuta na wanawake tu na washkaji!

Superstar>>>>>Dar es Salaam
Parents>>>>>??????????????
 
Superstar>>>>>Dar es Salaam
Parents>>>>>??????????????

hahahaaa!! mkuu nimekueleuwa!!!

wazazi tumewaacha kule sitimbi, wakilima magimbi!!

mfano mzuri ni mzazi wa the great!
 
Banana zorona mzee wake wako vzuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom