Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Kuna huyo mmoja ana 40+ na yuko nyumbani😃😂😂.. Sema yeye hajaoa, aliachaga upadre yupoyupo tu nadhani atazeekea tu nyumbani 😂😂😂🤣...🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Na hapo ameoa ana 30
Ngoja Liverpool VPN akujibu. Ila usiweke moyo wote kwa mtuDaah! Hongera bro!
Mimi mmoja tu lakini nimeshakuwa heartbroken na sina ham nao!
Mnawezaje aisee?
Kabisa. Na asisahau kuleta mrejesho.Ashindwe yeye
Mzee itakua anawapenda sana anahis mkiwa mtateseka sana...itakua nyie ni wavivu hamjazoea mazingira magumu 🤣🤣🤣si Hata ww mwenyewe unaona ulivo ukikerwa unaliaKuna huyo mmoja ana 40+ na yuko nyumbani😃😂😂.. Sema yeye hajaoa, aliachaga upadre yupoyupo tu nadhani atazeekea tu nyumbani 😂😂😂🤣...
Wazee wetu ni wakali sana sijui kwanini aisee
Leo we bwege Ume tema point 😆🤣Umeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Dah we kweli kichwa Nazi😆🤣, yaani 28, wengine tukiwa 19 tuli evacuate nchi😆🤣🤣28-30 hupaswi kua mazingira ya home, inatakiwa at least uwe umeshaanza harakati za kimaisha.....japo haya mambo nayo yanategemea Mila na familia husika...kwa Mila nlokulia mm mtoto wa kiume ukibalehe Kuna zle privilege kama mwanafamilia zinapunguzwa na Kwa wanaosoma wakienda chuo ndo exit strategy yao
🤣🤣🤣Sema umri huo nlikuwa nasoma nsingeweza kufanya harakati za maanaDah we kweli kichwa Nazi😆🤣, yaani 28, wengine tukiwa 19 tuli evacuate nchi😆🤣🤣
Hahaha mimi unanijua sipendi ugomvi ila napenda mwanamke mkorofi...Ndio mkomege nyie mnadhani sifa 😁😁!
Jigawanyishe mara tatu🤓Wakuu kwema?
Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.
Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.
Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..
Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah
Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.
Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?
Msaada tutani.
Akukorofishe umpige🤣🤣🤣🤣🤣!Hahaha mimi unanijua sipendi ugomvi ila napenda mwanamke mkorofi...
Hapana nakuangalia tu, sikufanyi chochote... Kulalamikiwa hahahaAkukorofishe umpige🤣🤣🤣🤣🤣!
🤣!Hapana nakuangalia tu, sikufanyi chochote... Kulalamikiwa hahaha
Nimetulia, hapana...🤣!
Sa ufanyeje ! Wee fumuaaaa tu !
Ole wako ulegezee ni ntakupigaaaa😁😁🤭!
Nawe unajua nilivo mpole Hakuna mfano!!😄Hapana nakuangalia tu, sikufanyi chochote... Kulalamikiwa hahaha
Nimeupenda uzoefu wako😂Umeyatimba mkuu apo ndio utumie akili yako vizuri.
Mwambie huyo aliekuja bila taarifa kuwa una ugeni wa mjomba, anakuja kwa matibabu na atafikia kwako kwa kipindi chote akiwa dar kimatibabu. Asipoamini tafuta mtu mpange awe mjomba mjomba na atokee eneo la tukio.
Napenda ukiwa mkorofi...Nawe unajua nilivo mpole Hakuna mfano!!😄
Nimetulia, hapana...
Hahaha.. Ungekua mwanaume ungeelewa...Amina kubwaaaa!
Kuchanganya changanya maku nuksii sana!
Kila kitu na wakati wake.🤣🤣🤣Sema umri huo nlikuwa nasoma nsingeweza kufanya harakati za maana