Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Daah nachomokaje hapa sielewi kabisa, msaada!

Hivi inawezekanaje binti unatoka nyumbani unaenda kuishi nyumbani kwa kijana ambaye sio ndugu yako tena kwa siku nyingi hivyo..

Au wazazi wangu mimi sio wa nchi hii🤔🤔
Huko vyuoni ndio maisha yao yalivyo, hata humu wapo waliowahi kuishi hivyo ila watakataa, kipindi cha likizo vyuoni wanachuo wengi hasa wanawake hutumia uo muda kuishi kinyumba na wanaume wawapendao na kudanganya wazazi kuwa wapo field mkoa fulani.
 
Kijiji bila wazee siyo Kijiji hiko. Umemshauri vema mkuu.

Nakusalimia mkuu,habari ya siku nyingi!!
Aisee!

Nilikuulizia mpaka kwa mpwa wangu. Nafurahi kukusikia ndugu yangu. Natumaini mwaka mpya ulikukuta vyema; na kwamba unaendelea vyema.

➡️ Toa ushauri kwa huyu kijana mwenzio. Afanyeje na haya magari matatu yanayotaka kugongania ghetoni kwake? 😁
 
Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.

Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..

Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?

Msaada tutani.
Jipe dharura ya safari kwa mtoto wa chuo, huyo mfanyakazi mwache... Mpige kalenda mtoto wa chuo
 
Ujana una mambo mengi sana mkuu, muda mwingine unakuta wazazi wamejitahidi kumlea mtoto katika malezi na maadili mazuri, lakini mtoto anawaaibisha bila second thought.

Niamini mimi wazazi wa huyo binti wala hawatajua kama ameenda kukaa kwa mwanaume watoto wanajua sana kudanganya wazazi tuliopitia huko mpaka sasa tumekuwa wazazi hatuwezi shangaa kabisa. Hapo wazazi wasilaumiwe.
Mmh,, kazi kweli kweli
 
Wakuu kwema?

Nimevurugwa saana Sasa sielewi nafanyeje hapa.. Nina mahusiano na wanawake wawili wote Wanakaa mkoani Arusha, sasa mmoja nina muda nae kama Mwaka Sasa huyu mwingine ni mpya mpya.

Ni wazuri wote ila huyu mpya amemzidi mwenzake kwa staha, ana staha na ni mstaarabu zaidi na sio muongeaji sana.. na hapa Dar Nina mmoja wa kunipunguzia nyege kama nikizidiwa huyu Wa Dar nilishampa misingi yangu Hana noma kabisa.

Hyu wa kwanza kafunga chuo mwenzake ni mfanyakazi Sasa huyu mfanyakazi ambaye ni wa pili alipata Kazi Dar akaomba aje akae kwangu mpaka atakapokaa sawa nikakubali anakuja Jumatano ajiandae andae..

Jana ghafla Wa chuo ananipigia simu nipo Shekilango njoo nipokee nikashtuka saana
Nikamuambia mbona hujanipa taarifa akasema ameamua ku ni surprise daah

Nikamuuliza unakaa muda gani akaniambia week mbili mpaka Barua za field zikitoka waah.. ninavyowaambia Niko nae hapa ndani huyu Wa chuo.

Sielewi nafanyeje na huyu mwingine huwa tunapenda sana kuongea na simu usiku hapendi sana kuchati nikimtumia message mbili tatu anapiga, wadau hapa nafanyaje maana sielewi huyu namtoa vipi hapa?

Msaada tutani.
Zingatia ushauri wa Mabaharia wenzako bila shaka kuna wengine wamekuja PM kukupa ushauri mzuri zaidi.

Ila huyo demu aliyekufanyia suprise hana akili.
 
Wanawake namba moja ukiwa mji tofauti na mapenzi wako.. tafuta njia kwa haraka ujue anuani anapoishi. Huna haja ya kufika Kwanza ila pafahamu surprise inone haswaaa... Njia zipo.. ya kuongea kwa simu sijui chatting haina maana miaka hii..
 
Back
Top Bottom