Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

Mabinti wa IFM hawanaga akili! Sio wanawake wale... wamejawa na mashauzi, ushua wa kuigiza na ujuaji. Sio wao wala wanaume zao wa pale... siku hizi kimekuwa chuo cha wakuja. Enzi za washua kweli ilikuwa miaka kumi na tano iliyopita!

Tafuta wanawake wa Masters labda ndo utapata aliye serious na mwenye kujitambua hao undergraduate ni shida!
 
Muulize kwani hao marafiki wamekufa au wapo,?? Akikujibu mfanye Spam dustbin.
 
Usidanganyike na comments. Kwanza tambua wanawake wote wanapenda kusifiwa kuwa waume zao wazuri au wanapesa au ni maarufu. Kwa hiyo kila mwanamke kwa kiasi maneno hayo humkaa. Ukitafuta asiyependa kusikiliza opinion za third part huyo hayupo.
Pili, mwanamke hatulii mpaka ameamua mwenyewe kutulia lakini mwanaume hatulii mpaka ametulizwa na mwanamke. Kwa hiyo kama huyo binti ameamua kutulia na wewe atatulia.
Usijinyime kitu roho yako inapenda, kama bado unampenda mchukue na mpige mimba kabisa.
 
Hako ka tabia ka kumtathimin bf kupitia marafik kataendelea kujaza kwa mwamposa....Huwa wanawake hawapendan....yawezkana walimuonea wivu kuwa yuko na mtu aliekamilika ila wakaamua wamwaribie tu.., wanawake wengi hasa undergraduate Wana akili za kishikiwa sanaa
 
Sio kweli! Sema sio wote
 
Acha kumdanganya.Hii iko na bongo mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…